Lyrics Wajinga Nyinyi - King Kaka
Dear
Lord
Today
I
come
before
you
for
2 things
Grateful
for
keeping
me
alive
even
though
you
know
my
day
Na
kutupea
wakenya
Amnesia
Asante
Sisi
ni
vipofu
na
viziwi
na
tunajua
translator
wetu
alishadedi
2022
already
si
mnajua
nani
ni
Prezzi
Si
mnajua
nyinyi
voters
ndio
washenzi
Kwani
hamjui
Mdomo
yangu
ilibatizwa
na
wakongwe
So
nashanga
Mbona
akili
zenu
time
ya
kura
zinajaa
shonde
Na
hiyo
wiki
ndio
ntajua
jirani
yangu
uwa
mjaka
Kamah
Kumbe
uwa
msapere,
Ata
Salamu
hawata
pata
Piga
tu
kura
na
utalala
bila
kula
a
night
of
tears
Nani
Skiza
na
macho
na
Ona
na
your
ears
Swali
Fununu
ni
Ati
system
ya
education
ni
ya
Uduu
Is
it
true
that's
why
umepeleka
mtoi
wako
akasome
majuu
While
graduates
wanashika
placards
kwa
traffic
Mtu
wa
actuarial
anataka
kujimada
it's
so
tragic
Swali
Ati
Waiguru
Ako
kwa
office
Na
story
ya
NYS
tulishasahau
Biro
moja
aliBuy
8thao
Biro
tunanunuanga
mbao
Either
sisi
ndio
wajinga
Ama
Ako
na
marking
scheme
ya
Accau
Time
will
tell,
Vijana
wanaBet
to
kifo
Wanadai
Betting
imewapea
Job
kuwaliko
City
stadium
imekuwa
renovation
for
3 years
budget
ziwatoshe
While
Sonko
anadance
tu
kwa
ofe
Swali
How
do
you
sleep
at
night
knowing
mikono
yako
imei,
Not
close
to
purity
Wordsmith
King
Kaka
arrested
for
fighting
Impunity
Ata
wakijam
na
hatupati
bread
hawatusomi
na
Sikwani
Promises
hamuweki
Hii
ni
relationship
gani
is
it
true
Uko
na
Account
offshore
zimejaa
money
Na
account
Ya
daughter
ya
waititu
iko
na
depo
ya
100
mita
ukipekwa
Kotini
ni
escort
ya
polisi
kama
sita
Ladies
and
gentlemen
official
speech
by
Mbwa
Mwitu
Wacha
avae
ngozi
ya
Kondo
kwanza
ndio
tumsifu
Si
basi
wakam
kwa
church
watoe
pesa
tulitoa
kama
tax
Na
pastor
Anakiss
Ass,
ampatie
hadi
asome
ka
Verse
Na
Sisi
tuko
busy
wajinga
nyinyi
tunaClap
Wakinisnipe
tonite
si
manajua
ni
kwanini
Ntakufia
watu
mi
siogopi
mimi
Wasijifanye
Hapo
wataLast
Ata
Chuma
u
Rust
Na
hizo
ganji
hamtazikwa
nazo
news
flash
Flesh
urudi
kwa
dust
Nchi
inaongozwa
na
thieves
Na
ukiogopa
jua
hauwezi
kuwa
Chief
Iba
hizo
mamita
mko
scott
free
Niibe
kuku
nta
Lala
ndani
Atleats
pastor
Nganga
amewashinda
anadanganya
adharani
Hapo
parliament
Kwani
mnashida
gani
Simtuibie
Kiplani
Mmetumiwa
Shetani
gani
Na
Job
ziko
wapi
Swali
ni
Ukweli
Lazima
uRetire
ndio
upate
job
So
inamaanisha
Lazima
kwanza
nipatie
job
ndio
nipate
job
job
The
youth
ni
Moody
at
90
and
Gikonyo
at
80
Manifesto
mlisema
Job
ni
Plenty
KQ
walisamehewa
deni
ya
24bn,
sugar
mill
farms
40
Bili
Na
ujinga
yenu
mnaweka
students
hawajalipa
kwa
gazeti
helB
Wajinga
nyinyi
Hizo
mlango
zenu
vile
mmebeef
security
hamuwezi
nikubalia
hodi
Remember
me
my
mom
anaitwa
wanjiku
na
my
father
is
a
nobody
Naskia
Mafuta
imepanda
tena
Inatoka
Turkana
ndio
urudi
tena
Hesabu
ya
1 plus
1 inawachenga
Mtaenda
retreat
kuidiscuss
tena
Na
mjiongeze
pesa
ya
tax
payer
tena
Laptop
ni
multi
billion
project
na
walimu
odhago
hawana
Lights
Wanacharge
kwa
generator
shopping
center
it's
not
right
Wasipandishe
tax
hizo
ndio
dreams
mi
uwa
nazo
Nikituna
What
are
we
really
doing
As
a
country
sazile
tunachuja
miguna
Petroli
imepanda
so
inamaanisha
polisi
wataOperate
kama
customer
care
Busa
na
chwara
zinamaliza
ma
Yout
enyewe
stivo
was
right
Mihadarati
haiwezi
.Wachane
na
polisi
wafanye
raid
tena
Ama
ni
vile
OCS
hajapewa
yake
na
kila
mwizi
oh
I
mean
Ya
kila
mwezi,
Na
polisi
wako
in
Cahoots,
hao
ndio
uSupply
wagondi
na
Guns
za
ku
shoot
Swali
Kazi
ni
formalities
na
ukiApply
ina
Bounce
Ni
ukweli
KPLC
wanatuwekea
Bill
haziko
na
zinaenda
kwa
Personal
accounts
Welcome
to
our
country
where
polician
wana
ujinga
za
kila
aina
Economy
imekuwa
hard
Hakuna
kitu
ya
kuteremsha
chai
na
Karibu
to
the
Kenya
Republic
of
China
I
support
Teachers
Doctors
wakistrike
Na
the
president
is
saying
Ati
kama
hawarudi
watachujwa
Hakuna
Siri
kwa
nyumba,
Naskia
jirani
bibi
anakula
you
know
What
I
mean?
Police
anaishi
kwa
keja
zimeseperaye
na
curtains
ni
2019
Na
hizo
damu
zitawafuata
kwa
coffin
Punda
idedi
lakini
mzigo
ifike
KCse
hazijafika
Sababu
ya
floods
so
instead
Wacha
niulize
maswali
Harambee
stars
wanalala
kwa
floor
airport
flani
while
mnahire
Private
jets
Swali
Disaster
mnakimbia
kusema
Vile
mtacreate
enquiry
Is
it
true
women
rep
ndio
wanadishi
pesa
ya
pads
Meant
for
girls
Maize
scandal
Wako
na
matusi
kwa
national
tv
such
role
models
Youth
unemployment
Politicians
ni
addicts
wa
pesa
KRa
wanatuibia
ndio
wapatie
wezi
pesa
Deadline
ya
tax
return
ni
Tuesday
Jengeni
tu,
Sips
tea
Iko
na
Mercury
kwa
shuge
Swali
Is
it
true
war
iko
funded
as
tunaloose
KDF
soldiers
daily
So
unalia
Ndio
maana
tumeshindwa
kutoa
Troops
Somalia
Mnakula
pesa
ya
health
Ndio
maana
Mkenya
hawezi
afford
The
moment
you
fall
Sick
tunaskia
unapata
treatment
Abroad
Na
voter
akidedi
na
Cancer
kera
Perfect
opportunity
atoe
coffin
na
transport
on
top
auze
sera
Hapo
ndio
mras
uwasha
kiLucy
In
the
name
of
treatment
kuna
Power
ni
Kirusi
Moha
umefunga
jicho,
jicho
pevu
ni
kipofu
Huduma
number
Kumbe
ilikuwa
tu
ka
Scam
flani
Na
Maraga
anataka
magari
Rais
unawaona
Hapo
ni
wanajeshi
waNavy
wakionyesha
umaarufu
Wao
wa
vita
ya
kulinda
nchi
wakiwa
kwa
maji
Wajinga
nyinyi
while
Mariam
na
daughter
wake
hajapatikana
wiki
Mbili
wAko
kwa
maji
Sema
Mcsk
Kutuimbia
Kwa
traffic
Uko
on
the
wrong
side
Ndio
Urush
kutuibia
5 years
ndio
zinaisha
Naskia
umeanza
kurudi
kwa
ground
Wacha
Kupretend
And
all
Kenyans
know
kwa
ground
vitu
ni
Swali
sijui
ka
unakumbuka
mimi
ndio
nilikuweka
Hapo
Can't
see
you
nikaa
tunacheza
tapo
Swali
Ama
na
Assume
ni
vile
Ulibuy
simu
Uko
na
line
mpya
Na
haushikangi
Numbers
haujui
I
stopped
being
your
friend
unanitreat
Namna
ya
Adui
Swali
Stadium
ziko
wapi?
Kazi
ziko
wapi?
Ile
manifesto
iliniwow
iko
wapi
Na
you
handshake
kwani
ni
ile
Sisi
ufinya
Kenyatta
Kwa
mkono
ya
karao
Swali
Ata
kama
tuko
na
Kenyatta
ndio
maana
strongly
feel
hatujapata
Uhuru
Attention! Feel free to leave feedback.