Lyrics Binti - Lady Jaydee
Binti
amka
acha
huzunika
Binti
amka
acha
sikitika
Binti
amka
jikaze
anza
mwendo
Binti
u
mrembo
na
bado
wang'ara
Binti
amka
acha
huzunika
Binti
amka
acha
sikitika
Binti
amka
jikaze
anza
mwendo
Binti
u
mrembo
na
bado
wang'ara
Kama
uko
shule
vitabu
ni
juhudi
ongeza
Kama
mwajiriwa
hakikisha
cheo
umepanda
Kama
biashara
ongea
vizuri
na
wateja
kamwe
usikubali
mtu
akukatishe
tamaa
Binti
amka
acha
huzunika
Binti
amka
acha
sikitika
Binti
amka
jikaze
anza
mwendo
Binti
u
mrembo
na
bado
wang'ara(sana
aaa)
Unadiliki
kusema
huwezi
ishi
bila
yeye
miaka
iliyopita
hukumjua
ni
nani
yeyeee
Mbona
uliishi
na
umekuwa
mkubwa
sasa
Iweje
akuzuge
ili
maisha
yakuchanganye
(Ohhh
ohh
eeee
eee)
Binti
amka
acha
huzunika
Binti
amka
acha
sikitika
Binti
amka
jikaze
anza
mwendo
Binti
u
mrembo
na
bado
wang'ara
Binti
imara
siku
zote
ni
shujaa
Kila
utendalo
maishani
utafanikiwa
Achana
majungu
usisikie
wasemayo
Piga
moyo
konde
mwisho
wa
safari
utafika
(Maisha
hayataki
papala
tulia
uone
nini
cha
kufanya
na
nini
cha
kuacha)
Binti
amka
acha
huzunika
Binti
amka
acha
sikitika
Binti
amka
jikaze
anza
mwendo
Binti
u
mrembo
na
bado
wang'ara
Binti
amka
acha
huzunika
Binti
amka
acha
sikitika
Binti
amka
jikaze
anza
mwendo
Binti
u
mrembo
na
bado
wang'ara
Wow
wow
ohhh
Binti
amka
acha
huzunika
Binti
amka
acha
sikitika
Binti
amka
jikaze
anza
mwendo
Binti
u
mrembo
na
bado
wang'ara
Binti
amka
acha
huzunika
Binti
amka
acha
sikitika
Binti
amka
jikaze
anza
mwendo
Binti
u
mrembo
na
bado
wang'ara
Binti
amka
acha
huzunika
Binti
amka
acha
sikitika
Binti
amka
jikaze
anza
mwendo
Binti
u
mrembo
na
bado
wang'ara
End...
1 Usiusemee Moyo
2 Siri Yangu
3 Mwanionaje
4 Binti
5 Mawazo
6 Wanaume Kama Mabinti
7 Zaina
8 Kifo
9 Muhogo Wa Jang'ombe
10 Siwema
11 Wanaume Kama Mabinti Remix
Attention! Feel free to leave feedback.