Lyrics Mhogo Wa Jang'Ombe - Lady Jaydee
Mhogo
wa
Jang′ombe
sijaulamba
mwiko
Usitukane
wakunga
na
uzazi
ungalipo
Mhogo
wa
Jang'ombe
sijaulamba
mwiko
Usitukane
wakunga
na
uzazi
ungalipo
Kaditamati
naapa,
muhogo
sitonunua
Haikuwa
Maimuna
aliyekwenda
ung′oa
Kaditamati
naapa,
muhogo
sitonunua
Haikuwa
Maimuna
aliyekwenda
ung'oa
Kapata
tete
kuanga,
na
ugonjwa
wa
surua
Mhogo
wa
Jang'ombe
sijaulamba
mwiko
Usitukane
wakunga
na
uzazi
ungalipo
Mhogo
wa
Jang′ombe
sijaulamba
mwiko
Usitukane
wakunga
na
uzazi
ungalipo
Mhogo
wa
Jang′ombe
sijaulamba
mwiko
Usitukane
wakunga
na
uzazi
ungalipo
Kula
dori
kula
dori,
mshindo
wa
sufuria
Gulili
gulili,
kofia
inavuliwa
Kula
dori
kula
dori,
mshindo
wa
sufuria
Gulili
gulili,
kofia
inavuliwa
Ndiye
mimi
ndiye
mimi,
afataye
ukoa
Mhogo
wa
Jang'ombe
sijaulamba
mwiko
Usitukane
wakunga
na
uzazi
ungalipo
Mhogo
wa
Jang′ombe
sijaulamba
mwiko
Usitukane
wakunga
na
uzazi
ungalipo
Mhogo
wa
Jang'ombe
sijaulamba
mwiko
Usitukane
wakunga
na
uzazi
ungalipo
Mtu
akitaka
kupa,
hakuletei
barua
Hukupa
usingizini
pasi
mwenyewe
kujua
Mtu
akitaka
kupa,
hakuletei
barua
Hukupa
usingizini
pasi
mwenyewe
kujua
Kwenda
mbio
si
kupata,
bure
unajisumbua
Mhogo
wa
Jang′ombe
sijaulamba
mwiko
Usitukane
wakunga
na
uzazi
ungalipo
Mhogo
wa
Jang'ombe
sijaulamba
mwiko
Usitukane
wakunga
na
uzazi
ungalipo
Mhogo
wa
Jang′ombe
sijaulamba
mwiko
Usitukane
wakunga
na
uzazi
ungalipo
Mkato
wake
matege,
wakati
anapokuja
Aliiweka
dhamiri
ya
kumvulia
koda
Mkato
wake
matege,
wakati
anapokuja
Aliiweka
dhamiri
ya
kumvulia
koda
Wallahi
nimeghairi,
kiumbe
hana
mmoja
Mhogo
wa
Jang'ombe
sijaulamba
mwiko
Usitukane
wakunga
na
uzazi
ungalipo
Mhogo
wa
Jang'ombe
sijaulamba
mwiko
Usitukane
wakunga
na
uzazi
ungalipo
Mhogo
wa
Jang′ombe
sijaulamba
mwiko
Usitukane
wakunga
na
uzazi
ungalipo
Kamfunge
kamfunge
beberu
wa
Athumani
Umfunge
umfunge
pahala
panapo
jani
Kamfunge
kamfunge
beberu
wa
Athumani
Umfunge
umfunge
pahala
panapo
jani
Endaeke
sina
hofu,
atarejea
ngamani
Mhogo
wa
Jang′ombe,
sijaulamba
mwiko
Usitukane
wakunga
na
uzazi
ungalipo
Mhogo
wa
Jang'ombe
sijaulamba
mwiko
Usitukane
wakunga
na
uzazi
ungalipo
Mhogo
wa
Jang′ombe
sijaulamba
mwiko
Usitukane
wakunga
na
uzazi
ungalipo
Sina
ngoa
sina
ngoa,
kuwa
daiwa
sitaki
Ni
mwerevu
ni
mwerevu,
wallahi
sihadahiki
Sina
ngoa
sina
ngoa,
kuwa
daiwa
sitaki
Ni
mwerevu
ni
mwerevu,
wallahi
sihadahiki
Pambanua
pambanua,
viwili
havipendeki
Mhogo
wa
Jang'ombe,
sijaulamba
mwiko
Usitukane
wakunga
na
uzazi
ungalipo
Mhogo
wa
Jang′ombe
sijaulamba
mwiko
Usitukane
wakunga
na
uzazi
ungalipo
Mhogo
wa
Jang'ombe
sijaulamba
mwiko
Usitukane
wakunga
na
uzazi
ungalipo
Mhogo
wa
Jang′ombe
sijaulamba
mwiko
Usitukane
wakunga
na
uzazi
ungalipo
Mhogo
wa
Jang'ombe
sijaulamba
mwiko
Usitukane
wakunga
na
uzazi
ungalipo
1 Usiusemee Moyo
2 Siri Yangu
3 Mawazo
4 Binti
5 Zaina
6 Mwanionaje
7 Kifo
8 Mhogo Wa Jang'Ombe
9 Siwema
10 Wanaume Kama Mabinti
11 Wanaume Kama Mabinti
Attention! Feel free to leave feedback.