Lyrics Siwema - Lady Jaydee
Siwema
usinipe
mateso
ya
moyo
Na
sasa
nimechoka
kweli
nasema
Siwema
usinipe
mateso
ya
moyo
Na
sasa
nimechoka
kweli
nasema
Nilidhani
nimepata
mpenzi
wa
kweli
Nakumbe
nimepatikana
na
mambo
ya
ajabu
Nia
na
madhumuni
yako
nimeshavitambua
Siwema
kaka
Siwema
kaka,
ah
ah
ah
Unajitapa
mbele
ya
rafiki
zako
Kwamba
mimi
sina
la
kusema
mbele
yako
Umeniweka
kwenye
kiganja
mama
Unalotaka
ndilo
ninalofanya
Sababu
wewe
ni
mzuri
sana
Siwezi
kupata
mwingine
kama
wewe
Siwema
kaka,
unajidang'anya
Wema
wangu
ndio
ulioniponza
Fadhila
zote,
kumbe
kwako
ni
bure
Malipo
yake,
kunifanya
mjinga
oh
ooh
Hayo
yote
ni
makosa
yangu
Lakini
sasa
nimejifunza
kutokana
na
makosa
Najiepusha
nawe
mama
aah
Nimezunguka
Tanzania
bara
Unguja
na
Pemba
nimefika
aah
Nimewaona
vijana
wenye
sifa
aah
Wenye
kujipamba
wakapambika,
aah
Nimezunguka
Tanzania
bara
aah
Unguja
na
Pemba
nimefika
aah
Nimewaona
vijana
wenye
sifa
aah
Wenye
kujipamba
wakapambika,
aah
Kwahiyo
nielewe
brother
(Sibabaishwi
na
sura
napenda
tabia
njema)
Sibabaishwi
na
sura
yako
(Sibabaishwi
na
sura
napenda
tabia
njema)
Usifikiri
mimi
rimbukeni
sana
(Aah,
sura
napenda
tabia
njema)
Nilikupenda
kimapenzi
(Sibabaishwi
na
sura
napenda
tabia
njema)
Ukaniona
mimi
sugamami
lako
(Sibabaishwi
na
sura
napenda
tabia
njema)
Tabia
njema
ndio
silaha
yako
(Sibabaishwi
na
sura
napenda
tabia
njema)
Kila
mtu
atakupenda
kaka
(Sibabaishwi
na
sura
napenda
tabia
njema)
1 Machozi
2 Distance
3 Wangu
4 Siri Yangu
5 Siku Hazigandi
6 Sirimba
7 Yeye
8 Kifungoni
9 Teja (Afropop Version)
10 Nitafanya
11 Siwema
12 Machozi Ya Furaha
13 Mimi Ni Mimi
14 Usiusemee Moyo
15 Consolation
16 Zaina
17 Penzi la Milele
18 Ne Syum Problema
19 Moto
20 Natamani Kuwa Malaika
Attention! Feel free to leave feedback.