Lyrics Atatamani - Linah
Mhmm,
yeah-yeah
Mi'
napenda
nisikiapo
sauti
yako,
boy
Inapoimba
masikioni
mwangu,
nahisi
kupata
raha
Mi'
nahisi
nikiwa
nawe
nitakuwa
juu
Alioniacha
mwanzo,
simfuati
tena
Mi'
naomba
unipe
kumbatio
lako,
oh
Baridi
ilikuwepo
mwanzo,
isiwepo
tena
Mi'
nahisi
ukiwa
nami
nitakuwa
juu
Aloniacha
mwanzo,
simfuati
tena
Atatamani
niwe
wake
(akiniona
nipo
nawe)
eeh
Akithubutu
anifuate,
eeh
(ukimuona
rusha
mawe)
oh
Atatamani
niwe
wake,
ye
(akiniona
nipo
nawe)
aah
Akithubutu
anifuate,
eeh
(ukimuona
rusha
mawe)
Eh,
eh,
mhmm
Aliposema
mimi
wa
kazi
gani,
hii?
Wewe
uliwaza,
utanipata
lini
Baby,
tambua
hakujua
thamani
yangu
Wewe
unayefahamu,
naomba
unipende
Aliposema
mimi
wa
kazi
gani,
hii?
Wewe
uliwaza,
utanipata
lini
Baby
tambua
hakujua
thamani
yangu
Wewe
unayefahamu,
naomba
unipende
Atatamani
niwe
wake
(akiniona
nipo
nawe)
eeh
Akithubutu
anifuate,
eeh
(ukimuona
rusha
mawe)
oh
Atatamani
niwe
wake,
ye
(akiniona
nipo
nawe)
aah
Akithubutu
anifuate,
eeh
(ukimuona
rusha
mawe)
Eh,
eh
(ukimwona
rusha
mawe)
mm
Atatamani
niwe
wake
(akiniona
nipo
nawe)
aah
Akithubutu
anifuate
eeh
(ukimuona
rusha
mawe)
oh
Atatamani
niwe
wake,
ye
(akiniona
nipo
nawe)
aah
Akithubutu
anifuate,
eeh
(ukimuona
rusha
mawe)
Aah,
oh-oh,
ukimuona
rusha
mawe,
ye...
Album
Ole Thembalami
1 Nakupenda
2 Angalau
3 Atatamani
4 Najua
5 Unanipa Tabu
6 Atatamani - Remix
7 Bora Nikimbie
8 Fitina
9 Tumetoka Mbali
10 Linah Ole Thembelami
11 Nia Yangu
12 Ole Thembalami
Attention! Feel free to leave feedback.