Linah - Fitina Lyrics

Lyrics Fitina - Linah



Nataka kunena,, Kuwafahamishaa
Naonaa Fitina Mmezizidishaa
Nataka kunena,, Kuwafahamishaa
Naonaa Fitina Mmezizidishaa
Hatutaachana,, Mwajiangaishaa
Hatutaachana,, Mwajiangaishaa
Ni buree zenu fitinaa,, sisi walaa hatuzijali
Wenyewee tunapendanaa
Kuachanaa ni mualiii
Aaaaaaah aaaaaah aaaaah aaaah
Msiniingilie na Mpenzi wanguu,,,
Kumpenda yeye,, ni chaguo languu
Msiniingilie na Mpenzi wanguu,,,
Kumpenda yeye,, ni chaguo languu
Kaeni mjueee acheni majungu
Kaeni mjueee acheni majungu
Ni buree zenu fitinaa,, sisi walaa hatuzijali
Wenyewee tunapendanaa
Kuachanaa ni mualiii
Aaaaaaah aaaaaah aaaaah aaaah
Mahaba matamu,, tunayopeana
Ni tamu hadhimu,, mfano hapana
Mahaba matamu,, tunayopeana
Ni tamu hadhimu,, mfano hapana
Kuachana vigumu,, wenyewe twapendana
Kuachana vigumu,, wenyewe twapendana
Ni buree zenu fitinaa,, sisi walaa hatuzijali
Wenyewee tunapendanaa
Kuachanaa ni mualiii
Aaaaaaah aaaaaah aaaaah aaaah
Nawafunga kauli,, Mbele sitakwenda
Tumetulia tuli, mimi na wangu nyonda
Nawafunga kauli,, Mbele sitakwenda
Tumetulia tuli, mimi na wangu nyonda
Ananipenda kweli na mimi nampendaa
Ananipenda kweli na mimi nampendaa
Ni buree zenu fitinaa,, sisi walaa hatuzijali
Wenyewee tunapendanaa
Kuachanaa ni mualiii
Aaaaaaah aaaaaah aaaaah aaaah




Linah - Ole Thembalami




Attention! Feel free to leave feedback.