Linah - Najua Lyrics

Lyrics Najua - Linah

Najua kama umelala
Na huwezi amka
Ila kufumba kwako macho
Kusinifanye nami nikufumbe kwenye moyo wangu
Najua kama umelala na huwezi amka
Ila kufumba kwako macho kusinifanye nami nikufumbe kwenye moyo wangu
Furaha yangu mimi kulia
Mpaka nahisi duniani kama naonewa
Am a single lady nimebakia yule niliyempenda
Kachukuliwa
Lonely lonely nimebakia nusu ya moyo wangu imeteuliwa
Muda wote mpweke huku nalia
Mpaka nahidi nakufuru Mungu kwenye hii dunia
Nililia machozi nilipoambiwa haupo na mie
Malaika naomba simango uumpokee na umshangilie
Nimezongwa na upweke unanifanya nikukumbuke
Picha yako usoni inanifanya chozi linitoke
Nashindwa kulala haja ya moyo wangu naijua
Machozi hayaniishi homa ya mapenzi naugua

Furaha yangu mimi kulia mpaka nahisi duniani kama naonewa
Am a single lady nimebakia yule niliyempenda kachukuliwa
Lonely lonely nimebakia nusu ya moyo wangu imeteuliwa
Muda wote mpweke huku nalia mpaka nahisi nakufuru Mungu kwenye hii dunia

Nashindwa kulala haya ya moyo wangu naijua

Linah - Ole Thembalami

Attention! Feel free to leave feedback.