Linex - Kwa Hela Lyrics

Lyrics Kwa Hela - Linex

Wanaosema huwa nachezea na kuacha
Hawaijui siri kubwa na maumivu niloyaficha
Walimwengu wanakutisha
Kila macho ukifikicha
Si unajua ugonjwa wangu wa moyo
Nikishapenda nimependa
Si unajua ugonjwa wangu wa moyo
Nikishapenda nimependa
Hujanipendea pesa, wala majumba kama ya bwana Almasi
Ni kwa neema zake, ni kwa neema zake Yeye
Ni kwa neema zake unazidi nipenda kwa kasi
Ananiliwaza
Kwa mziki mzuri toka Sony Wega
Ananikonga
Kwao Kasulu ndiko alikofundwa
She's supposed to be my wife
She's supposed to be happy
She's supposed to have my ring
She's supposed to have my ring
She's supposed to be my wife
She's supposed to be happy
Hautamani niwe bachelor
Au niwe na mpenzi mpaka kwa hela
Una mapenzi yenye moto wa kuotea mbali, hey!
Taratibu mwenzako nina kamba mguuni, hey!
Hautamani niwe bachelor
Au niwe na mpenzi mpaka kwa hela
Una mapenzi yenye moto wa kuotea mbali, hey!
Taratibu mwenzako nina kamba mguuni, hey!
Kwanini nitoe michango kila siku wenzangu wanaoana?
Kwanini nitoe michango kila siku wenzangu wanaoana?
She's supposed to be my wife
She's supposed to be happy
She's supposed to have my ring
She's supposed to have igweni
Ananipenda vile sidanandi
Ananipenda vile mi sigangi
Ananipenda vile sio kinega
Ananipenda vile mi sigangi
Ananiliwaza
Kwa mziki mzuri toka Sony Wega
Ananikonga
Kwao Kasulu ndiko alikofundwa
She's supposed to be my wife
She's supposed to be happy
She's supposed to have my ring
She's supposed to have my ring
She's supposed to be my wife
She's supposed to be happy
Hautamani niwe bachelor
Au niwe na mpenzi mpaka kwa hela
Una mapenzi yenye moto wa kuotea mbali, hey!
Taratibu mwenzako nina kamba mguuni, hey!
Hautamani niwe bachelor
Au niwe na mpenzi mpaka kwa hela
Una mapenzi yenye moto wa kuotea mbali, hey!
Taratibu mwenzako nina kamba mguuni, hey!
Wanaokupigia mayowe, watakupigia vigeregere
Wana gere, watakuwa mstari wa mbele kukuimbia
Una meremeta meremeta kama taa
Una meremeta meremeta kama taa
Kuhuru mwana iyaiyaa kendemu wake
Fuhuru mwana iya kendemu wake
Hautamani niwe bachelor
Au niwe na mpenzi mpaka kwa hela
Una mapenzi yenye moto wa kuotea mbali, hey!
Taratibu mwenzako nina kamba mguuni, hey!
Hautamani niwe bachelor
Au niwe na mpenzi mpaka kwa hela
Una mapenzi yenye moto wa kuotea mbali, hey!
Taratibu mwenzako nina kamba mguuni, hey!
Taratibu mwenzako nina kamba mguuni
Una mapenzi yenye moto wa kuotea mbali

Writer(s): Linex

Linex - Kwa Hela
Album Kwa Hela
date of release
22-01-2016

Attention! Feel free to leave feedback.