Lord Eyez - Kweli Lyrics

Lyrics Kweli - Lord Eyez



Yeah yeah
Full definition of hip hop (Kweli kweli)
King Eyez
I'm me
Kweli kweli kweli
Eeeh
Barabara hatuchonganishi
Naonganisha reli
Kiwanja kilishakwisha
Mdege unakejeli (kejeli kejeli kejeli)
(Kweli) (aaahaaahaa) mmhh (kweli)
Huu ni ukweli au kali,
Kweli heri,
Nataka niwasaidie mateja feli,
Nataka niongoze nchi iende vizuri,
Siasa za kibepari hatuzihitaji (kweli)
Siasa ni maji taka wanabadilika (kweli)
Wale waganga njaa angaza itawaunguuza,
Ukipuuza usaa kidonda utauguuza,
Usiniletee mzaa mjanja ntaunguuza,
Usinitangazie njaa hata mimi nauguuza,
Msitufuate hapo nyuma mission mtaunguza,
Wanatufata hapo nyuma,
Ubunifu wanapuuza,
Tunaanzisha unafuata,
Halafu unataka kutuchuza,
Watu bado wanakula rushwa (kweli)
Watu bado wanaiga maisha (kweli)
Eti weusi ndio wanaibeba hip hop (kweli)
Mimi ndiye definition of hip hop (kweli)
Barabara hatuchonganishi,
Naonganisha reli,
Kiwanja kilishakwisha,
Mdege unakejeli,
(Kejeli kejeli kejeli) (Kweli)
Barabara hatuchonganishi,
Naonganisha reli,
Kiwanja kilishakwisha,
Mdege unakejeli (kejeli kejeli) (kweli) aaahaahaa (kweli)
Bado hatujasimama masuala ya elimu (afya)
Bado sijamaliza miundombinu (chafya)
Tunatoa maboko huru,
Na mnaamua kutoza ushuru,
Tunatoa walioko juu na unashusha saizi ya kati,
Tunatoa walioko chini tunafukia ardhini,
Nafika mzigo huru,
Vitu vingi ni mururu,
Muda mchache vitu vingi,
Siwafanyi kunguru,
Walishatokea boko,
Wastaafu vigogo,
Watoto wazuri ndo washika bako,
Wazoefu vigogo,
Tufanye kazi wote,
Tuinuane wote,
Na iyo keki ya taifa,
Basi tuile wote,
Amani ni jukumu letu mi na we,
Watu bado wanapata tabu (kweli)
Watu bado hawana kazi (kweli)
Eti weusi ndo wanaibeba hip hop (kweli)
Mimi ndie definition ya hip hop (kweli)
Barabara hatuchonganishi,
Naonganisha reli,
Kiwanja kilishakwisha,
Mdege unakejeli (kejeli kejeli)
(Kweli) aahaahaa (kweli)
Eti weusi ndo wanaibeba hip hop (kweli)
Nataka niongoze nchi iende vizuri,
(Kweli)
Aahaahaa
(Kweli)
(Kweli)
Aahaahaa
(Kweli)
END



Writer(s): Isaac Waziri Mkutu


Lord Eyez - Kweli - Single
Album Kweli - Single
date of release
06-09-2019

1 Kweli




Attention! Feel free to leave feedback.