Lyrics Asanteni Kwa Kuja - Mrisho Mpoto
Baba
kaja
na
swali
mama
kanipa
jibu
ili
niulizwe
swali,
eeh!
swali
x2
Asanteni
kwa
kuja
Ndugu
zangu,
marafiki
zangu
Asanteni
kwa
kuja
Majirani
zangu
Asanteni
kwa
kujax2
Oyo
oyoo
Ndugu
zangu,
jamaa
na
marafiki
zangu,
waneni
husema,
usimuhadithie
mtu
ndoto
yako
ya
jana
usiku,
lakini
hapa
ni
kinyume
Siri
tunasema
bayana
tunaficha
Poleni
sana
kwa
kuja,
najua...
Wakati
ni
mali,
wakati
ni
ukuta
Kama
neno
litokalo
mdomoni
Kama
sauti
na
pengine
ni
kama
moshi
ukitoka
haurudi
lakini
kwanini
Dobi
kutakasa
kaniki
ali
tunajua
rangi
ya
nguo
ndugu
zangu
ukiona
paka
kakubali
kulala
chari
anza
kuomba
ruhusa
kazini
Najua,
mila
na
desturi
za
kwetu
huruhusiwi
kusema,
utaambiwa
una
gubu
una
hila
uchuro,
huna
malezi
ya
pande
mbili
na
kama
watakuwa
wamechukia
sana
watasema
uliaza
kutoka
miguu
badala
ya
kichwa
Yaani
huna
adabu
asanteni
sana
kwa
kuja,
mimi
sikuwa
naijuwa
safari
hii
kabla
japo
niliitegemea
sana
Wazazi
wangu
waliwahi
kuniambia
Kuwa
ipo
siku
nitasafiri,
nilicheka
sana
lakini
wao
walicheka
mara
mbili,
walinitazama
kisha
wakacheka
tena
mara
ya
tatu,
tena
kwa
nguvu,
basi
kama
tofauti
ya
vicheko
vyao
nilingelijua
usiku
wa
jana
kabla
ya
leo
nadhani
ningeudhihirishia
uma
ule
usemi
wa
kuwa,
riziki
ni
kama
ajali,
hauitambui
siku
ya
kuja,
cha
kushangaza
baba
alishika
swali,
mama
akanipa
jibu
Niulizwe
swali
Je
ungependa
kuona
nini
unapokuwa
safarini
mwanetu
kipezi?
Mama
akasema
mwambie
ungependa
kuona
miti
inavyorudi
nyuma
wakati
wa
safari
Ningependa
kuona
miti
inavyorudi
nyuma
wakati
wa
safari
Gudi
gudi
gudi
sana
kiziwanda
wetu
Nini
tena
kiziwanda
wetu?
Mwambie,
ungependa
ule
wakati
wa
uchimbaji
dawa
kati
kati
ya
safari
Ningependa
ule
uchimbaji
dawa
kati
kati
ya
safari,
ha
ha
ha
ha!
wao
umekuwa
kiziwanda
wetu
Oy
oyoo
Asanteni
kwa
kuja
x4
Haa;
ndugu
zangu
kwa
sasa
sicheki
Nakumbuka
majibu
yangu
ya
kupewa,
poleni
sana
kwa
kuja
Nawapa
pole
wote
kwa
kufunga
maduka
yenu
kuahirisha
shughuli
zenu
za
lazima,
kuwadanganya
Waajiri
wenu
ili
tu
mnisindikize
ndugu
yetu,
aidha
kuogopa
lawama
mtaani
pia
labda
kujua
safari
huwa
inaazaje,
yote
ya
yote
nasema
asanteni
japo
neno
hili
halina
maana
tena
siku
hizi
Nafurahi
James
kukuona
tena
huku
mbele
kama
sijakosea
kuhesabu
umebeba
mara
sita
umempita
hata
kasim
pale
nyuma,
yeye
amebeba
mara
tano,
muda
mwingi
alikuwa
abapiga
zogo
na
kuuliza,
tatizo
lilikuwa
nini
mpaka
naenda?
Sadiki
sikumuona
kubeba
ila
namuona
kama
hana
raha
tena
mwenye
haraka
Wakati
naandaliwa
aliniuliza
peter
na
Juma
huwa
inachukua
muda
gani
mpaka
safari
kumalizika
eh!
eh!
Oyo
oyoo,
Ndungu
zangu
atupaye
tupe
humrudia
mwenyewe,
naomba
mpunguze
mwendo
Mzee
mpiri
siwezi
kumlaum
Maana
umri
umepita
sasa
Oyo
oyoo
Naomba
msiende
mbio,
mtamuacha
wakati
na
yeye
ana
nia
ya
dhati,
kushuhudia
safari
ya
pili,
mh;
mh!
Nilikipenda
sana
kile
kikao
cha
jana
cha
kuamua
leo
ndio
niende
Kula
kunywa,
gharama
kwangu
Gharama
kwangu
nitatoa
mimi
maana
nina
uchungu
kweli!
kweli
ndio
fimbo
ya
kumkamatia
muovu.
Baba
kaja
na
swali
mama
kanipa
jibu
ili
niulizwe
swali,
eeh!
swali
x2
Asanteni,
Ndugu
zangu
kwa
kuja
Marafiki
zangu
Asanteni
kwa
kuja
Majirani
zangu,
Asanteni
kwa
kuja
Oyo
oyoo,
Asante
kwa
kuja
x2
Oyo
oyoo
Oyoo
oyoo
Oyo
oyoo
End#########
1 Nikipata Nauli
2 Waite
3 Asanteni Kwa Kuja
4 Adela
5 Chocheeni Kuni
6 Wanangu
7 Uhuru Wangu
8 Deni La Hisani
Attention! Feel free to leave feedback.