Mrisho Mpoto - Salama Zangu Lyrics

Lyrics Salama Zangu - Mrisho Mpoto



Taifa liwapo na uzuni wote lazima tufunge mikanda kiunonii
Il matanga ya isheee upesii
Majanga ya Napo zidi kimo mioyo ya awana damuu huotaa kituuu
Izooo ni salamu zanguu kwakoo hehe salamu zangukwako hehee hohoo
Pepo hazina sifa Ila wako jeanamuuu
Uzuli nikipimo cha ubaya
Kwani kihumbe chenye huai na mauti uongozwa na tamaa salamu
Zanguu kwakoo hehe salamu zangukwako hehee hohoo
Mpendwa mjomba time tenganishwa na ukuta sizani
Kama utakuja kututembelea tena kama msimu uliopita
Hapo kwa Sasa utakua hadimu poles salamu zanguu




Mrisho Mpoto - Waite
Album Waite
date of release
31-12-2016




Attention! Feel free to leave feedback.