Lyrics Nikumbushe - Nandy
Nirahisi
kinywa
kujawa
na
lawama
tele
Pale
mambo
yanapoonekana
hayaendi
Ni
ajabu
sana
namna
moyo
unahangaika
Ajabu
sana
moyo
unavyoonyesha
mashaka
yakwamba
Japokuwa
Mungu
anaishi
ndani
yangu
kuna
muda
nahofu,
Japokuwa
Mungu
anaketi
kati
yetu
kuna
muda
nahofu,
ahh
Nakumbuka
wana
wa
Israel
katika
bahari
yashamu
Japo
walikatiza
katikati
ya
bahari
kwa
ushindi,
Kwa
nyimbo
nyingi
waliimba
na
kumsifu
Bwanaa.
Lakini
baada
ya
kuvuka
na
kuliona
jagwa
Yalibadilika
mambo,
manung'unikoo
yalisimama
Na
kusahau
muujiza
alotenda
Bwana
Mwanzo
aah.
Eee
MUNGU
Nisaidie
ee
eeh
Nikumbushe
wema
wako
nisije
laumu
Nikumbushe
ukuu
wako
wakati
wa
Magumu
Nikumbushe
shuhuda
zako
ili
nikusifu
Niimbe
wimbo
wa
sifa
katikati
ya
machozi,
Niimbe
wimbo
wa
sifa
katikati
ya
machozi,
Eeh
ee
MUNGU
Nisaidie
Nisaidie
kukumbuka
baba
yakwamba
umenichora
Kiganjani
mwako
kati
ya
wengi
walioko
duniani
eenh
Na
mimi
umenionaa
oooh
ooo
Nikumbushe
baba
yakwamba
ni
wewe
umeniponya
nilipoumwa
Yakwamba
ni
wewe
mlipaji
wa
ada
yangu
shuleni.
Ouoh
ooh
Yakwamba
kama
ungeniacha
hatua
moja
Nisingelifika
nilipo
ooh
eee
Babaa
Umenikung'uta
mavumbi,
kung'uta
Mavumbi
mimi
na
kuniheshimisha.
Nikumbushe
wema
wako
nisije
laumu
Nikumbushe
ukuu
wako
wakati
wa
Magumu
Nikumbushe
shuhuda
zako
ili
nikusifu
Niimbe
wimbo
wa
sifa
katikati
ya
machozi
Niimbe
wimbo
wa
sifa
katikati
ya
machozi,
Nikumbushe
wema
wako
nisije
laumu
Nikumbushe
ukuu
wako
wakati
wa
Magumu
Nikumbushe
shuhuda
zako
ili
nikusifu
Niimbe
wimbo
wa
sifa
katikati
ya
machozi
Niimbe
wimbo
wa
sifa
katikati
ya
machozi,
Yesu
nakutazama
ninakuamini
wewe
Fungua
maisha
yangu,
nisaidie
nisilalamike
Mbele
zako,
katika
hali
zote
nijue
upo
Umesema
hutaniacha
eeh
Yahweh
1 Kivuruge
2 The Butterflies - Asante Mama
3 Hazipo
4 Nikumbushe
5 Kiza Kinene (feat. Sauti Sol)
6 Wasikudanganye
7 Aibu
8 Na Nusu
9 One Day
10 Nigande
11 Thamani
12 Bado
13 Nsuna Suna
14 Kata (feat. Ommy Dimpoz)
15 Kongoro
16 Baikoko
17 Nyanyasa
18 Powerful
19 Nalivua Pendo (Remix)
20 Nagusa Gusa (Remix)
21 Vagara
22 Mimi Ni Wa Juu
23 Sijja Kulya Mukyalo
24 Nagusa Gusa
25 Nimetoka Mbali (feat. Cyrill Kamikaze)
26 Magufuli Tena
27 Acha Lizame (feat. Harmonize)
Attention! Feel free to leave feedback.