Navio - KIGOZI Lyrics

Lyrics KIGOZI - Navio



We ndo nyota yangu kama, T.I.D
Nikikuudhi usinikimbie, kama Amini
Natumaini utanielewa, zaidi yule Beka
Nikikuudhi nitakubembeleza kama, Barnaba boy
Usinyweshe sumu ya Mapenzi, Usiwe mama mubaya
Mimi sio mgeni wa mapenzi, Maumivu nayajua
Sio kisa Pombe Pombe, Iliyofanya niropoke
Sio kisa Pombe Pombe, Iliyofanya niropoke
Oh, Daima na milele, mi nitakuwa nawe,
Maisha yangu yote, Kama Marlow!
Daima na milele, mi nitakuwa nawe, Maisha yangu yote, Ahhh
Hutosema Bora ukimbie, kama Linah Oh ohh
Usiende kwa mganga kama, Cassim ohh ohhh
Ohh natumaini, Kilio changu umesikia
Ohh natumaini, Machozi yangu utayafuta
Ohh natumaini, Kilio changu umesikia
Ohh natumaini, Machozi yangu utayafuta
Isiwe kama yako wapi mapenzi, oh ohhh
Uliyoniahidi kama, yake Bella
Usinifanye teja wa Mapenzi, Latifah haya
Latifah we ndo tu mami, Lati we ndo tu mami
Ninataka kuwa nawe, kuwa na wewe tu
Ulonifanya kuwa na we, kuwa na wewe tu
Embe dodo, embe dodo, Limelala mchangani
Kwa huba, na mazoea, uwe wangu wa milele
Mapenzi ni, kuvumiliana, nami mpenzi nitakuvumilia
Embe dodo, embe dodo, Limelala mchangani
Kwa huba, na mazoea uwe wangu wa milele
Nitalienzi penzi lako, sitokuacha hasilani
Nitalienzi penzi lako, sitokuacha hasilani
Nitalienzi penzi lako, sitokuacha hasilani
Nitalienzi penzi lako, sitokuacha hasilani Baby, ooh ohhh ahhh eyy
Ohh natumaini, Kilio changu umesikia
Ohh natumaini, Machozi yangu utayafuta
Ohh natumaini, Kilio changu umesikia
Ohh natumaini, Machozi yangu utayafuta
Machozi yangu utayafuta mama, hey
Machozi yangu, usiniache miye aaahh
Sijali umenitesa mara ngapi, au nimelia mara ngapi
Usiniache miye, ahhh ahhhhhh ahhhh wooooh
Usiniache miye
Uuuuuuhhh wooooooh



Writer(s): Daniel Lubwama Kigozi, Anthony Ssewabuga


Navio - Pride
Album Pride
date of release
22-05-2014




Attention! Feel free to leave feedback.