Nyashinski - Finyo Lyrics

Lyrics Finyo - Nyashinski



Hodi kwa mama wa mtoto mkorofi.
Acha nkuambie ka unataka kuona machozi.
Ya mtoto mchokozi.
Itabidi uongeze pilipili kwa biriani, otherwise
Ka sivyo wanachama hatuliangi, hatutuliangi.
Na ndukuru ni bangi.
Na ina harufu mbaaya,
Inaudhi majirani,
Lakini haidhuru ni sawa,
Acha wahamie kwa mashininani
Ka ina wadhuru vibayaa
Zina tu-bustia ka bombom kwa corner
Mi nina squadi kwa chrome
Na ma conmen na wakora
Wana diploma za kufunguanisha gorgon na corolla
The boredom mnasorora
Vile mna talent so mmegeuza game Sodom na Gomorrah
Vuta io trouser juu wacha kutuonyesha tako
Vuta io mini chini unamwaibisha mama yako
Ka unataka kutoleana juu ya kupika uji sio kupiga picha uchi
Unfollow nyako follow nyanyako
Mtaka nyama apasawe chief
If your god is money then you're poor to me, i have a feeling
You're not who you pretend to be on IG
Kutoka nursery I've been a winner
Usinieke gasoline, na bado hamjazima moto niliwasha oh three
Nakam na (finyo), watu wabaki (finyo),
ilikuwa tu (finyo)so najiona (finyo)
na tuna (finyo) bado tuna (finyo sana)
You ready for the world is it ready for you
You waiting for your girl is she waiting for you
Niliskia type yako hulike ma bachelors
Sijui ka ni true
IG ben yule carpenter
I feel ka ni true, a-a-a
Ni reasoning sio umang'aa
Ujinga ndio si hukataa
Sacrifice ni kuifanya for family sio chapaa
Greatness ni kuamkia legacy sio chapaa
Siwezi kuua juu ya thao kaa kwangu thao sio chapaa
My apartment in Amsterdam
Certified rastaman
Aki sometime nahang
I feel like am Saddam
I feel like am the best
Nikumake man impressed
Nikumake happiness
Mi ni merciless
Am in na nitawatesa until mkubali kesi
Ka sitakuinvest na skillvibambe freshi
If your god is money then you're poor to me, i have a feeling
You're not who you pretend to be on IG
Kutoka nursery I've been a winner
Usinieke gasoline, na bado hamjazima moto niliwasha oh three
Nakam na (finyo), watu wabaki (finyo),
ilikuwa tu (finyo)so najiona (finyo)
na tuna (finyo) bado tuna (finyo sana)



Writer(s): cedric "cedo" kadenyi, nyashinski


Nyashinski - Finyo
Album Finyo
date of release
30-11-2018

1 Finyo




Attention! Feel free to leave feedback.