P-Tah - Analysis Paralysis Lyrics

Lyrics Analysis Paralysis - P-Tah



Na bounce kwa this ka first body tenament
Comfy kwa beat ka Kiriamiti parlaiment
Bishara ya nyani, ufisi kwa ofisi
Ku anika ya tumbili, wa ki tufungia swara
Weka ndovu kadhaa kwa pori kabla mapoacher wa come
Life thao soo tano na ma idps kabla Annan acome
Hizi salamu si mpya, jezi tu
Dida alitusho hii umati ni ka raia ya ku kimbiza adida
Meanwhile adida kibao mtaani after lamba lolo na wamlambez
Maji na mimea kwa wingi na uja komaa
Inaweka brain cells kadhaa kwa coma
Hii whine whine ina lead tu pump pump
Sasa ume kula sweetie bila wrapper
Short... notice..., pampers zita itajika soon
Uchumi iko down Christmas uko Tuskys uki wrap presents
Uki look back wondering kama hizi ni penalties za takis
Them dayz base diet ulikua moja na ya mbuzi
Sahii we na mtoi juu ya mash, meno zime beat
Rudisha hiyo beat ni vent
Vile zina ni tramutize siwezi harmonize
Starting convo ndio nia si mamia
A better society iko near after analysis paralysis
Circle ya slum dwelling ime enza
Ku kata maji ku epuka reality
Ku ingia ni rahisi kutoka blunder
Kila kitu ya ku kuaribu at your disposal
Vijana chipukizi wana self medicate
P T S D jua vitu tume witness
Back then vijana ku hustle, Firestone kadhaa zili shika nare
Ni sad kucheki mabuda wakinunua ngata na hawana gari
Rudisha hiyo beat ni vent
Vile zina ni tramutize siwezi harmonize
Starting convo ndio nia si ma mia
A better society iko near after analysis paralysis
G. O. V. A ina cheza pata potea na mali ya umma
Kwa Fb Machozi ya kitirika
Msee ame guezwa kuni jua ya kuchapia waru ku feed familia
Kila jike (G. K) ina tega scandal na umati ina starve
Hii nonsense tuna need ku eradicate, hizi minds tuna ku educate
Willing buyer willing seller, ime wacha our society landless
Goldenberg since when tume anza ku export what we don't have
Anglo leasing tume zoea ghost workers mpaka tuna buy phantom goods
SGR naskia tuli lipa 30 percent more na za loan
But wanjiku ana bargain sokoni hafiki bei
Rudisha hiyo beat ni vent
Vile zina ni tramutize siwezi harmonize
Starting convo ndio nia si ma mia
A better society iko near after analysis paralysis
Headmaster na list ya names ya watu hawa jalipa fees
Hold up just think how embarrassing it is for these kids
Balanced diet boarding protein usupplimentiwa na weavils
Kerosine kwa food ku tame adolescence
You didnt know? You are surprised
Students wame turn dom to a fire place
Taking a knee black lives matter
But cheeks moto juu ya makofi za plain cloths
But hii ndio home na no place better than home
Long live the 254, better days ahead



Writer(s): Peter Mutisya


P-Tah - SOCIETY EP
Album SOCIETY EP
date of release
15-05-2021




Attention! Feel free to leave feedback.