Lyrics Don't Wanna Die - P-Tah
Jamii
inalia...
Watoto
wanalia
Vijana
wanalia
I
dont
wanna
die
Please
have
mercy
Covid
-19
world
crisis,
wondering
where
Christ
is
The
epi-crisis
ina
demand
we
come
together
as
one
Ba
ka
lysis
corruption
ina
dictate
how
our
nations
run
Uta
kula
aje
ya
donations
bana,
yes
bana
All
Kenyan
lives
matter,
usha
pata
Hii
pesa
uta
wacha
hapa
hapa,
no
lie
Cheki
Ugoro
ya
Tutankhamun
pale
pale
Mbona
Kisum
haiwezi
raise
ka
Axum...
na
iko
next
na
nile
Hizi
line
si
sum
Just
trying
to
elevate
minds
Our
land
Our
People
ni
wa
excellent
But
our
excellences
mna
tuangusha
Eee
Muesh
Long
time
no
see,
miaka
ka
tano
hivi
Last
time
tuli
onana,
ili
kua
ndizi
au
machungwa
Na
machungu
na
look
back
but
na
jua
Hai
kua
ku
penda
kwako
ku
promote
ukabila
Na
ku
danganya
vijana
Najua
ili
ku
cost
a
lot
Jamii
inalia
Watoto
wanalia
Vijana
wanalia
I
dont
wanna
die
Please
have
mercy
Pole
jo
wa
lisema
hauwezi
enda
hosi
majuu
Itakua
aje,
PPE
na
dawa
zote
zi
shauzwa
Siwezi
imagine
watoi
hawa
taenda
ku
further
studies
overseas
Wife
hataki
kuenda
shopping
westi,
what
the
cheese
Ati
ame
zoea
ku
buy
za
Dubai?
Kweli
chips
ni
viazi
Jo,
najua
life
yako
ni
hard
Niki
ona
uki
lala
works,
na
understand
Wana
sema
uko
overpaid
hawa
oni
uko
na
bills
to
pay
Open
checkbook
mbona
usijilipe
vile
unataka
Carpark
lazima
ijae
magari,
hii
si
mug'unda
Hawa
wezi
understand
lazima
champagne
ku
help
digestion
Bro
mfalme
alisema
wajinga
sisi,
I
agree
you
agree
Juu
ya
hızı
degree
tunarecycle
the
same
Ku
expect
different
results
ni
pure
madness
Umaskini
inakupeleka
rat-race
yeah
Tapi
toka
furu
Jamii
inalia
Watoto
wanalia
Vijana
wanalia
I
dont
wanna
die
I
just
wanna
live
Jamii
inalia
Watoto
wanalia
Vijana
wanalia
I
dont
wanna
die
Please
have
mercy
Attention! Feel free to leave feedback.