Lyrics Conscious Rap - P-Tah
Kwa
hizi
Ken
hoods
ma
pioneer
never
get
their
dues
Ojwang,
Masanduku,
Shirandula
wali
chekesha
nation
But
our
nation
ime
move
on
Do
we
care
how
their
families
are
doing
Je?
huu
ni
ugwana,
ku
sota
ya
bana
But
tu
shazoea
ku
toa
soo
ya
tea
ku
avoid
black
coffee
Toka
hokez
tao
mpaka
hapa,
kweli
muscle
ya
tii
Si
kuji
gamba,
but
hizi
mistari
za
ni
bamba
Wapi
makofi,
shangwe
na
vigele
gele
Ku
tafuta
hii
cash
kila
siku
juu
ya
struggle
na
hustle
Solo
ka
Mwogli
kwa
hii
jungle
bila
Bagheera
Serikali
ya
kera,
but
bado
na
pepurusha
hii
bendera
Mission
ni
ku
stay
alive
na
ku
avoid
jela
Tuki
hope
for
a
better
life
for
the
next
generation
Half
classmate
wa
nasa,
wako
kwa
graveyard
Na
hao
si
visitors
ni
permanent
residents
Maybe
V.C.T
ingle
help,
P.E.V
and
poverty
haiku
help
Poverty
ina
maliza
raia
hii
area
kuliko
malaria
Add
it
up,
wasted
talent
na
lost
potential
Painful
kama
kuona
your
favourite
daughter
aki
turn
to
a
house
help
Hapa
ama
ma
juu
tuna
jua
maisha
yao
iko
chini
Better
option
though,
kuliko
kuvaa
mini
kuenda
ofisini
usiku
Come
on,
mnajua
hizi
streets
Fees
ilikosa
na
zakubeba
vitabu
tu
school
pia
Sa
kijana
anabeba
chuma
kuenda
kwa
bank
hataki
kufanya
kazi
ya
mjei
Njei
wako
rada
reflex
ni
ku
spray
bila
hesitation
on
any
confrontation
Waziri
uki
come
area
ku
omba
kura
jua
sisi
si
walezi
Na
maybe
malezi
ingekua
better
with
better
opportunities
Ku
endasha
nduthi
hai
wezi
kua
ndio
vision
ya
kazi
kwa
vijana
Na
si
taki
law
suit
sija
kutaja
but
una
ji
jua
Na
kumulika
na
hizi
words
ka
lazor
beam
Maneno
mazito
kwa
ratili,
kufungua
akili
za
vijana
wawe
mawakili
pia
Si
ma
jangili
wakuku
pora
bangili
au
kuuza
mwili
Makofi
ya
kilo
Buda
uko
na
potential
but
una
need
kupiga
something
commercial
Hii
direction
ya
consciousness
haina
pension
At
best
utapata
a
few
mentions
hapa
na
pale
Conscious
rap
don't
pay
Hizi
shida
zime
kua
since
then
Mbona
una
dhani
wata
kuskia
Make
something
controversial,
tukana
rapper
Post
picha
kwa
mansion
na
fake
jewellery
Chukua
loan
hire
gari
uonekane
ume
make
it
Chapa
kitu
tunaweza
leta
mavixens
wa
tingishe
digda
Mbona
hakuna
curse
words
kwa
rhymes
zako
Msiki
ya
kisasa
lazima
useme
nigga
ama
bitch
Wanataka
kusikia
vile
wewe
ukata
maji
na
ma
ndom
Wanataka
kusikia
vile
unamamazi
wengi
Wanataka
kuona
six
pack
hii
kitambi
haitaweza
Mbona
words
zako
ziko
clear
Ungea
matope
kwa
beat
ama
mumble
Machine
gun
rap
ama
rudisha
words
nyuma
Una
kashi
vile
ina
muka
Wana
penda
ku
skia
vitu
hawataelewa
Cheki
vile
wana
penda
lingala
Maybe
ki
jamaica
will
do
it
bombo
claat
badman
ting
Nunua
views
bila
views
hawataki
ku
jua
about
your
views
Ama
una
jaribu
ku
kua
king
wa
underground
Checki
ngoma
yako
ya
covid
vile
ili
lala
Ha
Pa
Na
Hii
si
underground,
the
radio
don't
play
me,
the
internet
pays
me
Nani
ali
sema
ku
kick
knowledge
dont
pay
Come
ni
kusho
business
plan,
each
one
teach
one
That
one
pay
me,
nime
buy
merch
kwa
Akinyi
Hii
ni
currency
ku
circulate,
ku
baki
kwa
community
Ka
tuna
batter
between
us,
hatu
wezi
parara
Za
kale
kama
mc
Otero
ime
kubali
ka
Vgeti
Authentic
ka
k
swizz,
imara
ka
G
wiji
miti
Wa
furu
but
natambua
K
South
flava
Abbass
na
si
wa
PLO
Strongest
timber
I
think
that's
Bamboo
Our
ni
fore
fathers
bro
Mau
Mau
itabidi
ku
tafsiri
yo
Ontongolo
time
R.I.P
to
Poxi
Pressure
Tunaweka
pressure
kwa
game
Waki
koa
mna
come
Tuna
ombea
legends
wa
live
long
Attention! Feel free to leave feedback.