Lyrics Corona (feat. Magufuli) - Rayvanny
Corona,
corona,
corona
Corona,
corona,
corona
Wote
tumuombe
Mungu
kwa
hili
janga
Ikibidi
lipite
Tujihadhari
na
tujikinge
Ili
lisitufike
Habari
kote
duniani
zimesambaa
Ugonjwa
unaua
na
hauna
tiba
Na
wengine
wetu
masikini
hatujiwezi
Mwenyezi
Mungu
kawe
tiba
Watoto
wetu
mashule,
aah
Mama
zetu
tu
sokoni
Kwenye
vyombo
vya
usafiri
makazini
Tujilinde
Osha
mikono,
aaah
Epuka
mikusanyiko
sio
ya
lazima,
aaah
Na
uonapo
dalili
Mapema
wahi
hospitali
Corona,
corona,
corona
Corona,
corona,
corona
Corona,
corona,
corona
Corona,
corona,
corona
'Hatua
zimeshaanza
kuchukuliwa
Ameshatoa
tahadhari
mbalimbali
Ambazo
tunatakiwa
kuzichukua
Napenda
nirudie
ndugu
zangu
Watanzania
Kwanza
ni
vizuri
sana
tukaendelea
Kuchukua
tahadhari,
kwa
nguvu
zote
Ugonjwa
huu
unaua,
na
unaua
kwa
haraka
sana
Niwaombe
ndugu
zangu
Watanzania
Tusipuuze
ungonjwa
huu
Tusipuuze
hata
kidogo
Ni
lazima
tuanze
kuchukua
hatua
Za
kujikinga
kwa
tatizo
hili
Correct
All
Lyrics
by
RAYVANNY
Translation
Attention! Feel free to leave feedback.