Rayvanny - Miss Buza Lyrics

Lyrics Miss Buza - Rayvanny



Huyo miss buza, mama miss Buza
Jamani miss buza, nampenda miss Buza
Huyo miss buza, mama miss Buza
Jamani miss buza, nampenda miss Buza
Rangi yake ya vidole kama ndizi za kuchoma
Harufu yake ya wigi unapata Corona
Hee kikipigwa kigodoro lazima utamuona
Shughuli hajaalikwa, kijola kashashona
Ila chumbani si gogo mwali
Mbuzi kagoma kifo cha mende chali
Uvunguni sakafu juu ya dari
Ua mtoto anaupaka asali mama
Akiona simu anapita anapita nayo
Eh! Akiona walleti anapita nayo
Eh! Akiona dundo kali anapita nayo
Yaani akiona begi kali anapita nayo
Ana msitu kwapani, dala kifuani
Kwenye dala dala anapita dirishani
Ghetto anazima taa, vipele mapajani
Ana dera jipya, chupi la zamani
Ah yo yo yo
Huyo miss buza, mama miss Buza
Jamani miss buza, nampenda miss Buza
Huyo miss buza, mama miss Buza
Jamani miss buza, nampenda miss Buza
Haya kelele ya kwanza kwa missi yake, weh
Kelele ya pili kwa missi yake, weh, weh
Kelele ya tatu kwa missi yake
Weh, weh, weh weh
Mtoto anachu chu, anachuchumia
Ana chu chu, mpaka nguo anavua
Mtoto anachu chu, anachuchumia
Ana chu chu, mpaka nguo anavua
Akivua shati muache, muache
Ameamua muache, muache
Akivua shati muache, muache
Ameamua muache, muache
Katikati nataka aloshindikana
Katikati nataka chura yenye laana
Mwanangu katikati nataka aloshindikana
Kati kati nataka chura yenye laana
Basi twende tunaenda kushoto
Wanangu kushoto, aahuni kushoto, masisela
Turudi ulia, wanangu kulia
Masela kulia, wanangu
Basi twende tunaenda kushoto
Eh kushoto, wanangu kushoto, yii kushoto
Basi twende tunaenda kulia
Wanangu kulia, ati, ati...
Basi twende teremka
We mwanagu teremka
Teremka shika mabega teremka
Bwana teremka, masisela teremka
Teremka shika kiuno teremka
We mwanangu teremka, mama teremka
Teremka shika magoti teremka
Basi twende
Nionyeshe unavyochumaga mchicha tembele
Nionyeshe unavyochumaga mchicha
Mama nioneshe unavyochumaga mchicha tembele
Nionyeshe unavyochumaga mchicha
Oya twende kama unalo tingisha, we mama tingisha
Tuone tingisha we dada tingisha
Kama unalo tingisha, we mama tingisha
Tuone tingisha, we dada tingisha
Eyooo Kenny
Basi twende shosho, we nioneshe sho
Style gani unacheza kidalipo
We mwanangu shosho, we nioneshe sho
Style gani unacheza kidalipo
Basi tuende kibaikoko we mtoto
Miguu juu ning'inia kama popo
Kibaikoko we mtoto
Miguu juu ning'inia kama popo
Unakaa chini unakwenda unakwenda unakwenda
Shika magoti unashuka unashuka unashuka
Na ka chini unakwendaa unakwendaa unakwendaa
Shika magoti unashuka unashuka unashuka
Basi twende timua vumbi timua, shemeji atafua
Timua vumbi timua, shemeji atafua
Bwana timua vumbi, timua shemeji atafua
Timua tena timua, shemeji atafua
Wee Juma Lokole number one
Kida mchoksi number one
Hahaha Idriss wa kitaa number one
Weeee Aristote
Wapi Uncle Shamte ongeza ah mama Dangote
Mwambie ata draft lina vyumba havipangishwi
Eeh kidogo dogo msalimie Kenny
Tony Vumwe, Ricardo Momo
K Imani, Soni Weka
Eeh mwanangu Ommy Crazy
Ommy Kichaa kini kazaa
HK HK wapi Wanjala?
Lengo Dangote nipelee
Ali mwa Kimwana Papichulo weee
Eeh baba Benami, baba Benami aiii
Ah wote, ah wote
RJ the Dj, all day
Wananiitaga Dulla Makabila yaani King of Singeli
We Esma Platnumz anakusalimia mkubwa Fella
Waambie wasitume wavulana kwenye shughli za wanaume
Mmmh Dulla jamani tucharaze kitu gani?
Haijaisha tu, kama singeli ndo kurushana hivi
Mi siwezi jamani inatosha
(Lazer on the Mix)



Writer(s): Shaban Mwakyusa


Rayvanny - Vanny Boy - EP
Album Vanny Boy - EP
date of release
27-11-2018




Attention! Feel free to leave feedback.