Lyrics Mama La Mama (feat. Mr. Blue) - Mr Blue , Rayvanny
Mama,
mama,
mama
La
mama
eeh
(Ayolizer)
Mola
amenipa
sauti
niimbe
Nakuimbia
wewe,
ai
Woman
of
my
life
baby
mama
Nakupa
mabawa,
fly
Nani
ata
dawa
utapime
Uzuri
wako
wewe,
mine
Material
wife
huna
drama
Niende
kwa
mwingine,
why?
Cha
mapenzi
kinaa
kipime
Uone
dhahiri
upendo
wangu
Usije
kunitupa
wewe
(Aaah
wewe)
Sina
mwingine
Na
sitobadili
chaguo
langu
Moyo
wangu
nakupa
wewe
(Aaah
wewe)
Chocolate
colour
nywele
laini
Lips
mafuta
na
zina
shine
Nguo
za
kung'ara
your
design
Thanks
to
the
Lord
now
you're
mine
Sema
pwani
ama
mabara
wapi
fine
Tukitoka
out
tukanywe
wine
Figure
8 kinara
sio
nine
Unapenda
wasafi
tutaku
sign
We
ndo
mama
mama,
mama
la
mama
We
ndo
mama
mama,
mama
la
mama
We
ndo
mama
mama,
mama
la
mama
We
ndo
mama
mama,
mama
la
mama
eeh
Nikitazama
sura
yake
namwona
modo
Naiona
taswira
ya
adabu
sioni
nyodo
Nauona
mpapai
alafu
unafwata
embe
dodo
Nawaona
wasopenda
amani
wote
macho
kodo
Ah
ningepeleka
wapi
hichi
kichwa
kigumu
Ningepata
wapi
mwanamke
wa
kudumu
Ajiunge
na
Wasafi
tusukume
gurudumu
Na
mnajuaga
sitaki
haya
mambo
ya
kunywa
sumu
Aah
mama
la
mama,
ooh
mama
mia
aah
Kwako
nimezama
nimezama,
nimezamia
aah
Nihifadhi
kama
maji
kwenye
mwili
wa
ngamia
Usijali
kuhusu
mambo
ya
tango
na
vibamia
Nichakaze
shawty,
nikanyage
sorry
Kwangu
kuwa
mchaga
asubuhi
nile
kama
mtori
Tafadhali
shawty
usinipandishe
mori
Na
ukinipa
nyama
naila
kama
mnyama
pori
We
ndo
mama
mama,
mama
la
mama
We
ndo
mama
mama,
mama
la
mama
We
ndo
mama
mama,
mama
la
mama
We
ndo
mama
mama,
mama
la
mama
Attention! Feel free to leave feedback.