Rich Mavoko - Babilon Lyrics

Lyrics Babilon - Rich Mavoko



Natoka Bongo wala si Congo
Mida ya fisi na maza tunauza gongo
Life ulufombo, watu wana nyongo
Upate kitu kidogo upigwe dongo
Usije fosi battle mi ni business man
Utacheza mdaku ka utashindwa shine (yeah yeah yeah)
Wanaishi Babilon system
Jifanye huna nguvu ugawe wazi
Wanasema kelele
Mwenzake chura
Ukijaribu kufosi kingi
Utanyimwa hadi kura
Mwanangu we ukitoka usirudi
Fanya tu tupate dishi tuishi gudi
Watakupa maseke kusudi
Ili tu wakutoe kwenye mudi
Kila sehemu nayatimba
Wahusika wanajificha
Masnichi wanazima taa
Nikiwa ndani na manigga
Wamambwiga, walofika
So lazima watashangaa
Na wanangu wewe (wewe)
Wewe (wewe) wewe (wewe) wewe
Na wachumba wewe (wewe)
Wewe (wewe) wewe (wewe) wewe
Come here and see
Wakati nacho fanya ni lazima kihit
Come here, come here, come here and see
Wakati nacho fanya ni lazima kihit
Kwetu hatuwezi
Kuvumilia ngumi na panga mkononi
Ukielekeza mapenzi
Utakwanguliwa uwe bwege mtozeni
Kinja kinja nachinja
Usije ukayumba
Kama unakuja na dinga
Nifiche kwenye jumba
Ya kwanza mi nikipata eeh
Nikipata eeh (wahuni tu nimwage)
Na nyumbani kwa maza eeh
Kwa maza eeh (lazima nizimwage)
Mwanangu we ukitoka usirudi
Fanya tu tupate dishi tuishi gudi
Watakupa maseke kusudi
Ili tu wakutoe kwenye mudi
Kila sehemu nayatimba
Wahusika wanajificha
Masnichi wanazima taa
Nikiwa ndani na manigga
Wamambwiga, walofika
So lazima watashangaa
Na wanangu wewe (wewe)
Wewe (wewe) wewe (wewe) wewe
Na wachumba wewe (wewe)
Wewe (wewe) wewe (wewe) wewe
Natoka Bongo 255
Tafuta kazi hiyo si kazi wewe



Writer(s): Rich Mavoko


Rich Mavoko - Babilon
Album Babilon
date of release
30-08-2019




Attention! Feel free to leave feedback.