Lyrics Nidanganye - Shetta
We
bora
nidanganye
danganye
danganye
tuu
Ukinambia
ukweli
ntaumia
Hata
nikikukuta
chumbani
mtupu
umekombatiwa
We
bora
nidanganye
danganye
danganye
tuu
Ukinambia
ukweli
ntaumia
Si
unajua
kwako
sijiwezi
me
siwezi
ntalia
Baby
nakupenda
ndio
sikliza
moyo
wangu
unavyokwenda
mbio
(yaani
kasi)
Usinipe
wasiwasi
nighaasi
ila
ukinitenda
sio
Nakutaka
wewe
tu
baby
boo
haya
Nidanganye
tuu
uwe
true
lier
Ila
ni
vbaya
ukinitupa
kwenye
fire
Nipige
kama
kinanda
na
me
niimbe
kama
kwaya
Kitaa
kuna
tetesi
eti
machizi
kibao
wanakuona
mwepesi
Sihitaji
ukweli
baby
pliiz
Sitanuna
hata
nikikufuma
na
KGT
Niambie
kaka
yako
tu
basi
Love
linanipa
stimu
kama
nyasi
Japo
nipo
fit
kama
nyati
Kwako
sitaki
vita
nipo
peace
mpaka
basi
We
bora
nidanganye
danganye
danganye
tuu
Ukinambia
ukweli
ntaumia
Hata
nikikukuta
chumbani
mtupu
umekombatiwa
We
bora
nidanganye
danganye
danganye
tuu
Ukinambia
ukweli
ntaumia
Si
unajua
kwako
sijiwezi
me
siwezi
ntalia
Hekima
na
busara
zishakumba
fikra
zangu
Hisia
zikitawala
sifichi
kama
utupu
wangu
Uje
unikombate
upokee
zawadi
zangu
Kiss
sio
lazima
danganya
mashavu
yangu
Eeh
ukweli
unauma
na
nikijua
moyo
itauma
Fanya
siri
kama
unaiba
mali
ya
umma
Na
nikistuka
nidanganye
danganye
tu
kiaina
Kwako
nmefeel
aas
me
mpofu
Nimezama
kwenye
hiki
kina
kirefu
Nmetokea
Tanga
na
haya
mahaba
usinichukie
Nataka
unikosehe
mamushika
nijickie
Njoo
nidanganye
mpaka
wanangu
waniaminie
Kama
unanimis
njoo
maskani
uniulizie
Japo
wajanja
wanakata
tu
dau
Kukubali
sio
mbaya
ila
usinisahau
Niigizie
angalau
ingawa
nyuma
ya
pazia
madharauu
Niigizie
angalau
ingawa
nyuma
ya
pazia
madharauu
We
bora
nidanganye
danganye
danganye
tuu
Ukinambia
ukweli
ntaumia
Hata
nikikukuta
chumbani
umekombatiwa
We
bora
nidanganye
danganye
danganye
tuu
Ukinambia
ukweli
ntaumia
Si
unajua
kwako
sijiwezi
me
siwezi
ntalia
Attention! Feel free to leave feedback.