The Gladiators - So Fine Lyrics

Lyrics So Fine - The Gladiators



Ukaona sina thamani kwa penzi lako ukaniacha naliaa(mh)
Kwa unyenyekevu nilioonnesha kukubembekeza ukakataa sikufa moyo nkaona bora nikufuate nyumbani
Labda utanipokea kwa aibu
Mipango yangu ikagoma barabara
Matusi mpaka ukanitemaa
Nami kwa maombi nikafunga nikiomba ili mradi uwe wangunilipo gonga hodi moyo ukafunga na ukakana penzi langu nami kwa maombi nikafunga nikiomba ila mradi uwe wangu nilipo ginga hodi moyo ukafunga naukakana pendo languuubaby sio fineee sio fine baby sio fine sio fine tatizo moja mkijua kuwa mnapendwa ndio mnaanza sumbua wh ona moyo unaliaaa naumia jinsi unavyo nitendaa nakama ungekuwa hunipendi bora mie ungenieleza tizamaa moyo unashindwa spend nikikuona moyo unakosa raha x2 ndo ukasema we unajua kwamba mi naumia sana sasa vipi unanizingua



Writer(s): Clement Dodd, Albert Washington Griffiths


The Gladiators - Bongo Red
Album Bongo Red
date of release
30-10-2015




Attention! Feel free to leave feedback.