Lyrics Shit Yangu - Wakadinali feat. Wangeci
Employee
of
the
month
Employee
of
the
month
Employee
of
the
month
Employee
of
the
month
Sina
nguvu
tena
sina
muda
wa
kufight
na
mwanadamu
Nafanya
shit
yangu,
nafanya
shit
yangu
Nafanya
shit
yangu,
nafanya
shit
yangu
Nafanya
shit
yangu
Sina
nguvu
tena
sina
muda
wa
kufight
na
mwanadamu
Nafanya
shit
yangu,
nafanya
shit
yangu
Nafanya
shit
yangu,
nafanya
shit
yangu
Nafanya
shit
yangu
Juzi
juzi
na
si
siri
Tumeshinda
movies
ni
ka
tunaona
series
(ni
ka
tunaona
series)
Ndani
ya
Vitz
wakiuliza
Which
activity
mnado
tunawaambia
"Which
activities"
Akikusize
ni
usherati,
sites
za
ngwati
Size
za
mbati,
salimu
wanati
Juu
this
time
ka
huradi
utasanif
tu
mabati
I'm
chasing
my
goals
Kaa
hufiki
bei
you're
breaking
my
balls
I'm
chasing
my
goals
Kaa
hufiki
bei
you're
breaking
my
goals
I'm
chasing
my
goal
Kaa
hufiki
bei
you're
breaking
my
balls
I'm
chasing
my
goal
Na
ka
hii
Kanairo
huijuangi
videep
Huwa
inakaa
ni
ka
hujawai
heartbreak-iwa
vizuri
Malindi-ndi
dramatize
hata
kushinda
mahindi
mthii
Sina
nguvu
tena
sina
muda
wa
kufight
na
mwanadamu
Nafanya
shit
yangu,
nafanya
shit
yangu
Nafanya
shit
yangu,
nafanya
shit
yangu
Nafanya
shit
yangu
Sina
nguvu
tena
sina
muda
wa
kufight
na
mwanadamu
Nafanya
shit
yangu,
nafanya
shit
yangu
Nafanya
shit
yangu,
nafanya
shit
yangu
Nafanya
shit
yangu
Mmh,
mi
ni
Wangechi
walai,
nafanya
shit
yangu
Napull
up
na
mangwai
kwa
karai,
nafanya
shit
yangu
Niko
nditni
is,
na
si
kwa
mababii,
nafanya
shit
yangu
Wangechi,
Wangechi,
Wangechi
wa
manya,
wangechi
wa
manyags
Karao
ukiniona
furahi,
ndo
wife
na
mtoi
wapate
staftahi
Walai,
kesi
baadaye
Labda
mi
nikupe
bars
Ama
imuje,
imuje,
imuje,
imuje,
imuje,
imuje
Ama
imuje,
imuje,
imuje,
imuje,
imuje,
imuje
Sina
nguvu
tena
sina
muda
wa
kufight
na
mwanadamu
Nafanya
shit
yangu,
nafanya
shit
yangu
Nafanya
shit
yangu,
nafanya
shit
yangu
Nafanya
shit
yangu
Sina
nguvu
tena
sina
muda
wa
kufight
na
mwanadamu
Nafanya
shit
yangu,
nafanya
shit
yangu
Nafanya
shit
yangu,
nafanya
shit
yangu
Nafanya
shit
yangu
Nilishaamuaga
sistruggle,
hii
mwaka
mi
nafanya
shit
yangu
Ndugus
anawakimbizaga
mchana,
mimi
usiku
ndio
naingia
shift
yangu
Wanajimix
mimi
ninakeep
calm
tu
Uwaganis
huwaga
imekosa
chanjo
Baggy
jeans
para
ni
za
kitambo
Cannabis
ka
tumekosa
mipango
Size
risky
inatoshana
na
candle
Nina
discipline
siezi
cheza
na
cargo
(what,
what)
Mrembo
anafanya
pesa
nafumble
Ikiisha
wanasogea
kando,
he
he
Sina
nguvu
tena
sina
muda
wa
kufight
na
mwanadamu
Nafanya
shit
yangu,
nafanya
shit
yangu
Nafanya
shit
yangu,
nafanya
shit
yangu
Nafanya
shit
yangu
Sina
nguvu
tena
sina
muda
wa
kufight
na
mwanadamu
Nafanya
shit
yangu,
nafanya
shit
yangu
Nafanya
shit
yangu,
nafanya
shit
yangu
Nafanya
shit
yangu
Aftermath
always
huwaga
hesabu
Hawana
mistari
na
tumejaza
vitabu
Mariba,
tangu
enzi
za
babu
Mascandal
za
media
ziliingiza
Maribe
kwa
taabu
Ka
wanatuulizia
we'
waambie
tunamuja
Tuko
mastula
tushaorder
Sambuca
Unaeza
ivuta
si
tuko
maduyaa
Piga
scene
dundaa
tukitafuta
mfupa
Goals
zangu
haziniallow
nyi'
kufunga
door
ooh
Nyi
ni
ma
gatekeepers
umbwa!
Mi
nafanya
shit
yangu,
we'
unakam
kuniletea
shida
zako,
joh
Mi
nafanya
shit
yangu,
we
unakam
kuniletea
shida
zako
Sina
nguvu
tena
sina
muda
wa
kufight
na
mwanadamu
Nafanya
shit
yangu,
nafanya
shit
yangu
Nafanya
shit
yangu,
nafanya
shit
yangu
Nafanya
shit
yangu
Sina
nguvu
tena
sina
muda
wa
kufight
na
mwanadamu
Nafanya
shit
yangu,
nafanya
shit
yangu
Nafanya
shit
yangu,
nafanya
shit
yangu
Nafanya
shit
yangu
Sina
nguvu
tena
sina
muda
wa
kufight
na
mwanadamu
Nafanya
shit
yangu,
nafanya
shit
yangu
Nafanya
shit
yangu,
nafanya
shit
yangu
Nafanya
shit
yangu
Sina
nguvu
tena
sina
muda
wa
kufight
na
mwanadamu
Nafanya
shit
yangu,
nafanya
shit
yangu
Nafanya
shit
yangu,
nafanya
shit
yangu
Nafanya
shit
yangu
1 Singefanikiwa
2 Mc Mca
3 Mariwanna
4 King Size (Scar)
5 Huu Kijana
6 Shit Yangu
7 Sikutambui
8 Chocha (Domani)
9 Balalu
10 Tourist
11 Aroma (Sewersydaa)
12 Chunga
13 Case Closed
14 Rong Reggae
Attention! Feel free to leave feedback.