Wakadinali - King Size (Scar) Lyrics

Lyrics King Size (Scar) - Wakadinali



Yo, for real for real
I'm plotting, i'm plotting
For real
Uh, i'm plotting i'm plotting
No g, we don't do no talking
Ssh, importing narcotics
Hio weed ni potent ni potent
Yo, wananiidolize si mnichoche
Hata sihitaji lights on nikose
Nimekuja na lines zangu ni za cocaine
Slap kwa ig live bro ni content
Real g's wananiuliza "wagwan?"
KG ya ganja imesundwa kwa turban
Small issues za kukuwa father
Flip kilo tatu inakuwa kilo saba (kwanini?)
Za unga, za chang'aa na petrol
Mzigo lazima ifike hadi location
Mboka ni kama hio tire, iende rotation
Pole ka uko na experience bila connections
Scar de, fear who? galdem piamu
Molded ni ya boo, yote ni yangu
Bado anashangaa vile msupa wake ako na key yangu
Usiulize maswali enda ukaulize kiatu
He-he, hatuko worriеd
Mary jane na kushikwa kwa hio lorry
Tuko tuko tuko ma molly
Ati ma stretching, ati ma yawning
Ati nachoma na sijauliza maoni
Ukiskia aroma si unajua ni my homies
Niko frеsh niko West si unione
Na huez' nicorrect ukiwa loaded
Ha-ha,i made her pussy wet with a foreplay
Nikaki-made her forget where she from de
Ex wako, aka "nongwe"
Tomba mpaka ataweka caption "rong day"
She keep saying that she missing me
Baby i know what your medicine is
Anataka kile ki kingsize kya mr. riz
Goddamn tena pleasure imemix na biz
Is it sherry or is it shanice?
New hoes, same bros like initially
We don't care what they did just release my g's
Or we gon' take it to the streets, for real
Mama tried man i can't complain
Ukizaliwa eastlands ni ka ushafail
Fuck the government i can't bank on them
Way way back before we buried uncle ochieng
Some say that i got your ways
Hustler niko rada niko gat all day
Napitia mengi but i walk casually
Man i paid cash for my first car homie
No loans, hio tabia ya kuchukuanga madeni niliambia mathe "no more"
I swear on God
Hata gold digger ajaribu kunithigitha hawezi mada monyo
No loans, hio tabia ya kuchukuanga madeni niliambia mathe "no more"
I swear on God
Hata gold digger ajaribu kunithigitha hawezi mada monyo
She keep saying that she missing me
Baby i know what your medicine is
Anataka kile ki kingsize kya mr. riz
Goddamn tena pleasure imemix na biz
Is it sherry or is it shanice?
New hoes, same bros like initially
We don't care what they did just release my g's
Or we gon' take it to the streets



Writer(s): Churchill Mandela Ogana


Wakadinali - NDANI YA COCKPIT 3
Album NDANI YA COCKPIT 3
date of release
02-12-2022




Attention! Feel free to leave feedback.