Lyrics Tourist - Wakadinali feat. Khaligraph Jones
Yo,
hallo
Yo
Aress,
wolan
Sindio,
hivo
hivo
tu
Shagla
nish
au
sio?
Twende
ha
Big
Beats
Afriq
Mtoto
ni
mfresh
na
ni
tourist
Mtoto
ni
mfresh
huyo
ni
tourist,
tulimeet
Westi
Alchemist
Kaja
Nairo
kwa
wajanja
kuseti,
Rong
Rende
wanyama
wa
mstuni,
ha
Yunihallanga
hadi
Tuesday,
jaba
ni
mamende
Eastlando
nimetuliz
Mtoto
ni
mfresh
na
ni
tourist,
mzuri
mnduli
wa
ghetto
Mtoto
ni
mfresh
huyo
ni
tourist,
tulimeet
Westi
Alchemist
Akaja
Nairo
kwa
wajanja
kuseti,
Rong
Rende
wanyama
wa
mstuni,
ha
Yunihallanga
hadi
Tuesday,
jaba
ni
mamende
Eastlando
nimetuliz
Mtoto
ni
mfresh
na
ni
tourist,
mzuri
mnduli
wa
ghetto
Yo,
amedai
ikifika
ngware
ati
nijipe
shugli
ju
hataki
chali
Jaba
ni
mamende
huku
ndokas
Miss
Independent
analia
namonchoka
Kwani
kuna
swali?
ha
ah
ah,
sijadhani
Mtoto
ni
mshifre
tuarinyo,
ju
mi
ni
man
a
badman
I
need
me
a
bad
girl
Doch
nikimbunga
El
Nino,
hebu
66
tufungue
hii
mvinyo
Alafu
usisahau
ye
hajui
mi
ni
msanii,
vеnye
analia
ananipenda
sana
Niko
tu
baroda
na
kishash,
nilitumia
headbrush
nikagеt
ki
head
rush
Sh,
shh,
shh,
shh,
shh,
Clash
of
the
Titans
Hivi
ndo
Munga
mi
hukuja
basi
kufunza
maniggas
Wakikwara
kuvunja
na
si
kufunza
maninja
Staki
swara
kukuja
kazi
kuguza
na
injure
Nikigwara
hizi
kucha
as
in
kufukuza
ma
jiggers
Kwa
club
tu
wasupa
shika
banjuka
Sitoke
through
one
two
ka
tuna
shida
banduka
Pombe
kisha
buy
through
kwa
Super'
Pilsner
maduka
Biz
ya
mahawker
inanawiri,
Jesus
mzuka
Go
hard
or
go
home,
makondoo
joh
si
watu
hu
condone
Na
hatuishi
Soddom,
on
God
hatupendi
kuwa
abnormal
Mambo
ikienda
kombo
straight
up
angalia
watu
unachillingi
nao
Black
yet
am
proud
wow,
bow
down
na
staki
kuwa
loud
Vile
mambo
huenda
ulidhani
ulianua
Brenda
kumbe
ni
Bredan
Mtoto
mkamba
yela,
ilibidi
nimempea
brown
asifeel
jealous
Culture
shock
Alchemist,
Leila
mbleina
amegeuka
hmm
Plus
hafeel
failures,
na
wanaume
wanapenda
kuteta
teta
Off
white
unaianua
offshore,
na
portion
kidogo
kwa
mbosho
If
so
right
tutaifanya
rúciú,
kama
leo
joh
imepita
threshold
Driller
pia
dealer,
nimekam
na
vitu
za
kuheal
the
nation
Na-na-na
misemo
kushinda
zile
za
leso
Mtoto
ni
mfresh
huyo
ni
tourist,
tulimeet
Westi
Alchemist
Kaja
Nairo
kwa
wajanja
kuseti,
Rong
Rende
wanyama
wa
mstuni,
ha
Yunihallanga
hadi
Tuesday,
jaba
ni
mamende
Eastlando
nimetuliz
Mtoto
ni
mfresh
na
ni
tourist,
mzuri
mnduli
wa
ghetto
Mtoto
ni
mfresh
huyo
ni
tourist,
tulimeet
Westi
Alchemist
Akaja
Nairo
kwa
wajanja
kuseti,
Rong
Rende
wanyama
wa
mstuni,
ha
Yunihallanga
hadi
Tuesday,
jaba
ni
mamende
Eastlando
nimetuliz
Mtoto
ni
mfresh
na
ni
tourist,
mzuri
mnduli
wa
ghetto
For
real
Leo
mi
ninacheza
Westi,
huku
Eastlando
joh
washanijua
Msupa
wa
mtu
ni
bestie,
umeshinda
unambeep
manze
joh
unatusumbua
Bora
tu
sura
ni
sexy,
wachana
na
haga
boo
tutanunua
Anajua
mi
nina
jeshi
just
in
case
motherfuckers
wajaribu
kuzua
Mtoto
ni
msafi
mtalii,
usijifanye
hutaki
msanii
Msupa
ana
packe
anadai
aniweke
ati
sihitaji
kazi
Akapea
kila
mtu
wa
Rong
Rende,
mamtasis,
cousins
In
case
ulidhani
hizi
ni
mambwembwe
Waambie
there's
something
charging
Yo,
bado
niko
ngangari,
bado
mi
si
charari
Kama
kitu
moto
tunaongezea
parafin
Baby
pussy
yako
imenijazia
gallery,
ninaibeat
mpaka
ananipea
salary
Me
and
my
G's
tukikuja
ni
ma
Parararara,
ni
chafu
kila
mahali
ukikaa
na
mi
Mtoto
wa
mtu
ananiita
daddy,
Wakadinali
Mtoto
ni
mfresh
ni
mtourist
(Mamacita,
mwah)
Extravangante
Maria
she
different
sort
of
(Extravanganto)
Five-star
hotel
she
gon'
make
decent
orders
(Decent
orders)
Only
rank
Louie
V
and
her
shit's
imported
(Woo,
woo,
woo)
Her
whole
personas
fightin'
it,
but
no
complaints
am
likin'
it
Me
give
her
de
ting
then
me
pipin'
it
The
first
time
we
met
was
in
Alchemist
I
drop
the
bag
then
she
whine
fi
me
(Whine
fi
me)
But
she
no
whine
for
no
waste
man
broke
Boy
hate
when
I
make
it
pour
(Make
it
pour)
Ask
her
if
she
had
enough
but
the
girl
dem
tell
me
"Mooore"
Mia
kwa
mia
ngeus
anakaa
Khalifa
But
ka
unadigi
hio
story
unafaa
kanisa
Yeah,
napenda
usherati
sindio
mnapata
picha,
ha
Anapenda
mangwati
shots
huzitaka
sita
Mi
huimada
na
madakika,
beat
it
up
kama
jab
za
Conje'
We
hupendanga
marap
za
E-Sir,
perfect
tunavibe
so
tuongee
Real
rap
hii
si
namba
tisa,
usiende
huko
juu
talent
onge
Rong
Rende
inabump
kwa
speaker,
OG
hakunanga
compee
Mtoto
ni
mfresh
huyo
ni
tourist,
tulimeet
Westi
Alchemist
Kaja
Nairo
kwa
wajanja
kuseti,
Rong
Rende
wanyama
wa
mstuni,
ha
Yunihallanga
hadi
Tuesday,
jaba
ni
mamende
Eastlando
nimetuliz
Mtoto
ni
mfresh
na
ni
tourist,
mzuri
mnduli
wa
ghetto
Mtoto
ni
mfresh
huyo
ni
tourist,
tulimeet
Westi
Alchemist
Akaja
Nairo
kwa
wajanja
kuseti,
Rong
Rende
wanyama
wa
mstuni,
ha
Yunihallanga
hadi
Tuesday,
jaba
ni
mamende
Eastlando
nimetuliz
Mtoto
ni
mfresh
na
ni
tourist,
mzuri
mnduli
wa
ghetto
Mtoto
ni
mfresh
huyo
ni
tourist,
tulimeet
Westi
Alchemist
Kaja
Nairo
kwa
wajanja
kuseti,
Rong
Rende
wanyama
wa
mstuni,
ha
Yunihallanga
hadi
Tuesday,
jaba
ni
mamende
Eastlando
nimetuliz
Mtoto
ni
mfresh
na
ni
tourist,
mzuri
mnduli
wa
ghetto
Mtoto
ni
mfresh
huyo
ni
tourist,
tulimeet
Westi
Alchemist
Akaja
Nairo
kwa
wajanja
kuseti,
Rong
Rende
wanyama
wa
mstuni,
ha
Yunihallanga
hadi
Tuesday,
jaba
ni
mamende
Eastlando
nimetuliz
Mtoto
ni
mfresh
na
ni
tourist,
mzuri
mnduli
wa
ghetto
![Wakadinali feat. Khaligraph Jones - NDANI YA COCKPIT 3](https://pic.Lyrhub.com/img/1/t/f/4/0csknr4ft1.jpg)
1 Singefanikiwa
2 Mc Mca
3 Mariwanna
4 King Size (Scar)
5 Huu Kijana
6 Shit Yangu
7 Sikutambui
8 Chocha (Domani)
9 Balalu
10 Tourist
11 Aroma (Sewersydaa)
12 Chunga
13 Case Closed
14 Rong Reggae
Attention! Feel free to leave feedback.