Lyrics Wana - Zuchu
Hunywi
maji
yakapita
Mi
nkiguna
ushafika
Jina
gani
hujaniita
baby
Ushauri
hutaki
kabisa
Eti
uniache
nna
visa
Vya
Firauni
na
Musa
vingi
Nikilala
naota
kama
unaniita
Nafumba
macho
navuta
shuka
Naona
napumbazika
Unishikapo
ndipo
hapo
nafarijika
Mambo
yako
mahaba
yako
Ndo
maana
natononoka
weh
Wana
wana
wana
wana
Pale
tulipokutana
Mikono
tukapeana
Macho
yakatizamana
Wana
wana
wana
wana
Pale
tulipokutana
Namba
kubadilishana
Nafsi
kukubaliana
aah
Nzi
kidondani
huvia
Wahenga
walisema
Maradhi
yaweza
yasiwe
na
dawa
Kwa
penzi
yakapona
Rabii
amenipa
nusura
Jeuri
sina
tena
We
ndo
ganzi
umenimaliza
hasira
Siumwi
wakisema
Nidekeze
niliwaze
Washushuke
wanyamaze
Nikinuna
nibembeleze
Usinipepee
nipulize
Watuone
washituke
Roho
zao
ziwaume
Mi
nipike
ule
chote
Unenepe
upendeze
Wana
wana
wana
wana
Pale
tulipokutana
Mikono
tukapeana
Macho
yakatizamana
Wana
wana
wana
wana
Pale
tulipokutana
Namba
kubadilishana
Nafsi
kukubaliana
aah
mmh
Ukitaka
uniweze
nibebe
wewe
Ukipenda
unibimbe
unikumbatie
Hata
watu
watuone
wakahadithie
Nitambulishe
niringe
niwavimbie
Ukitaka
uniweze
nibebe
wewe
Ukipenda
unibimbe
unikumbatie
Hata
Lizer
atuone
akahadithie
Nitambulishe
nitambe
niwavimbie
(Wasafi)
Attention! Feel free to leave feedback.