Aslay - Bado Mapema paroles de chanson

paroles de chanson Bado Mapema - Aslay



Weka lengo, weka nia, subiria, ridhiki yako, funga usongo, Pambania,
Pigania, maisha yako, wakikutenga, na we jitenge,
Maana wanataka sababu we yeee, wakirusha mawe,
We rusha tende, wala usiwape sababu we yeee.
Kwa nguvu zake mungu utapata,(
Amina), usije kujaribu kuchoka, (
Amina), usichoke usikate tama adui
Utampa nafasie, jitahidi ndugu kuridhika, (
Amina), usifosi kifo cha kutaka, (
Amina), usije kuenekezaa njaa acha kupoteza nyakatiee.



Writer(s): Aslay Isihaka Nassoro


Aslay - Kipenda Roho
Album Kipenda Roho
date de sortie
19-01-2020



Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.