Aslay - Nusu Nusu paroles de chanson

paroles de chanson Nusu Nusu - Aslay



Mtoto nusu nusu
Aah
Aah
Nusu nusu
Nusu malaika nusu mtu
Aah
Aah
Mmh
Ana mochezo ya ndombolo
Fujo kwenye ngondoro
Nyama laini,Kama ngongoro
Ananipitisha kila Totoro
Ndeka habari zenu nlivyo na wivu
Mi kushare sitaki
Na wapa makavu vidume vya mbavu
Msije nishitaki
Tunapendeza kinoma, tunapendana
Hatujashare wazazi lakini tunafanana
Si mnene si mwebamba
Aah Aah nusu nusu
Sio wa. Pemba sio wa tanga
Aah Aah nusu nusu
Chochote anaulamba
Aah Aah nusu nusu
Sio kwa Dela sio kwa kanga
Aah Aah nusu nusu
Eei wa kwenye bima okota
Nifanya mzingo kokote
Miuno ya kiCongo tomoka
Jifunge usongo sokota
Akiinama mi nasimama,Napata jawabu
Wasiokupenda wakiandamana, watapata taabu
Sana
Ndeka habari zenu nlivyo na wivu
Mi kushare sitaki
Na wapa makavu vidume vya mbavu
Msije nishitaki
Tunapendeza kinoma, tunapendana
Hatujashare wazazi lakini tunafanana
Si mnene si mwebamba
Aah Aah nusu nusu
Sio wa. Pemba sio wa tanga
Aah Aah nusu nusu
Sio kwa Dela sio kwa kanga
Aah Aah nusu nusu
Namng′ang'ania namng′ang'ania aah
Mi kwake nimezidiwa
Namshikilia namshikilia aah
Asije akakimbia
Waanaona ndonge(ndonge ndonge)
Waanaona ndonge mama(ndonge eeh)
Waanaona ndonge(ndonge ndonge)
Waanaona ndonge mama(ndonge eeh)



Writer(s): Aslay Isihaka Nassoro


Aslay - Kipenda Roho
Album Kipenda Roho
date de sortie
19-01-2020



Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.