Aslay - Kipenda Roho paroles de chanson

paroles de chanson Kipenda Roho - Aslay



Kukupata wee niliona maajabu
Niliteseka nilipata taabu
Kuishi mbali nawe sio jawabu
Nilimwaga chozi lenye sababu
Sababu ni wewe my boo
Hadhi ya kuwa nawe
Kuishi mbali na wewe sio jawabu
Niliambiwa sina hadhi
Enzo wa kukufanya ule,ulale
Kapoteza huna hamu tu!
Mimi na wewe eeh!
Nikama nevu na kambale lazizi
Ona wachawi wanafumba macho
Hawaamini ikiwa unacho...
Hawaamini wewe wa kwangu nami
Wa kwako
Ulinitesa wewe mtoto
Kuishi nami naona kama ndoto
Naona aah!,naona aah!
Aaah aah,wee kipanda roho
Aaah aah,wee kipanda roho
Wewe mama mjengo,wee kipanda
Roho
Mama mama mama kipenda roho
Wee kipanda roho
Nipe nikupe ya moto moto
Zima taa tusake watoto
Tupate watoto kurwa na doto
Kurwa na doto
Twende honeymoon maphoto photo
Tuwavimbie kina mpoto
Tufanye malumbuzi mapocho pocho
Oooh mapocho pocho oh!
Mimi nawe miaka million
Mpaka atakapotuchukua maanani
Tumwache shehe atie ubani
Tufunge pingu za maisha honey
No my wifey
Usitest life eeh!
Usijefanya nife baby,iii eeh!
Mimi nawe miaka million
Mpaka atakapotuchukua maanani
Tumwache shehe atie ubani
Tufunge pingu za maisha honey
Ulinitesa sana wewe mtoto
Kuishi nawe naona kama ndoto
Naota aah, naota aah
Aaah aah,wee kipanda roho
Aaah aah,wee kipanda roho
Wewe mama mjengo,wee kipanda
Roho
Mama mama mama kipenda roho
Wee kipanda roho
Mama mjengo kipenda roho,wee
Kipenda roho
Yeah yeah yeah yeah...
Wee kipanda roho,Wee kipanda roho
(Wanene)



Writer(s): Aslay Isihaka Nassoro


Aslay - Kipenda Roho
Album Kipenda Roho
date de sortie
19-01-2020



Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.