paroles de chanson Moyo Mashine - Ben Pol
Najua
kukikucha
ntajuta
kama
nikikuta
unanitania
Maana
moyo
wangu
nimekupa
uweke
Mimi
ni
mfungwa
tena
ni
mjinga
Nimejileta
gerezani
Tena
sikuwaza
ntakuwa
mateka
Mmh
Najua
ulinizungusha
sana
Sijali
huwa
ni
mambo
ya
ujana
Kukupenda
wewe
sijuti
Maneno
yalisemwa
mengi
sana
Kuna
wakati
nilikata
tamaa
Kukupenda
wewe
sichoki
(Moyo
mashine)
Ila
majibu
ya
upendo
ulishakosa
(Acha
waseme)
Nimekupendea
nini
(Moyo
mashine)
Ila
majibu
ya
upendo
ulishakosaga
(Wacha
waseme)
Nimekupendea
nini
Nafsi
inanituma
upendo
uko
nje
ya
maneno
Ila
vitendo
Kama
bubu
akipenda
atanena
vipi
kwa
maneno
Pasina
vitendo?
Kiziwi,
hata
ukimwambia
"nakupenda"
wala
hasikii
Ila
vitendo
oh
Wewe
sijui
sababu
za
kukupenda
Siwezi
sema,
ila
utaona
ah
Najua
ulinizungusha
sana
Sijali
huwa
ni
mambo
ya
ujana
Kukupenda
wewe
sijuti
Maneno
yalisemwa
mengi
sana
Kuna
wakati
nilikata
tamaa
Kukupenda
wewe
sichoki
(Moyo
mashine)
Ila
majibu
ya
upendo
ulishakosa
(Acha
waseme)
Nimekupendea
nini
(Moyo
mashine)
Ila
majibu
ya
upendo
ulishakosaga
(Wacha
waseme)
Nimekupendea
nini
Oh
kama
moyo
ulisimama
nlipokuona
Hukuongea,
hukucheka,
nilikuona
tu
Na
tabia
sikufahamu,
labda
niache
mwanadamu
Ukipenda
usishangae
ni
upofu
wa
moyo
Kumbe
moyo
ulinirubuni,
hukusema
umependa
nini
(Moyo
mashine)
Ila
majibu
ya
upendo
ulishakosa
(Acha
waseme)
Nimekupendea
nini
(Moyo
mashine)
Ila
majibu
ya
upendo
ulishakosaga
(Wacha
waseme)
Nimekupendea
nini
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.