Elani - Jana Usiku - traduction des paroles en anglais

Paroles et traduction Elani - Jana Usiku




Jana Usiku
Jana Usiku
Jana usiku, niliota ndoto,
Last night, I dreamt,
Africa nzima, kuliwaka moto x2
All of Africa was on fire x2
Jua ilinyesha, mvua nayo ikawaka aaa,
The sun rained, and the rain burned aaa,
Manabii walitafsiri, siku hii na sio siri,
The prophets interpreted, this day is not a secret,
Kama wewe unajipenda, mikono juu mikono juu,
If you love yourself, hands up, hands up,
Kama umemea,
Like a tree,
Sahau shida ka umesota, leo tupige makelele,
Forget about your troubles and worries, let's make some noise,
Kona to kona, tukiimba,
From corner to corner, we sing,
Aaaaaaa, aaaaaaa
Aaaaaaa, aaaaaaa
2
2
Na mi napendwa na halaiki, wananipigia pigia mtaani,
And I am loved by the masses, they call me on the streets,
Haiyaiye,
Haiyaiye,
Tumemea, hakuna fare, na tunataka hewaaa x2
We have grown, there is no fare, and we want fresh air x2
***END***
***END***





Writer(s): Bien-aime Baraza, Bryan Chweya, Maureen Kunga, Wambui Ngugi


Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.