paroles de chanson Mahindi (Radio Edit) - Elani
Ni
asante
mama
kwa
uji
ya
asubuhi
Nimewahi
kuwahi
eeh
Na
sasa
niko
fiti
Nairobi
Maisha
ya
kulima
siyo
rahisi
Lakini,
najua
ni
wengi
wananingojea
Nifike
na
Mahindi
mahindi
Wananchi
wanataka
kula
ugali
Nyumbani
Mahindi,
mahindi
Raia
wanataka
unga
ya
ugali
Nyumbani
Anasema
anatumia
jiko
nyumbani,
yeeh
Eti
kilo
ya
nyama
yangoja
nyumbani
na
ugali
Huku
sisi
tuko
kazi
Tukichelewa
itakuwa
tena
kesi
Nairobi
jueni,
tuko
njiani
Twaja
na
Mahindi
mahindi
Wananchi
wanataka
kula
ugali
Nyumbani
Mahindi,
mahindi
Raia
wanataka
unga
ya
ugali
Nyumbani
Jogoo,
Hostess
Sembe,
Pembe
Zote
kazi
ya
mikono
yetu
Zote
kazi
ya
mikono
yetu
Mahindi
mahindi
Wananchi
wanataka
kula
ugali
Nyumbani
Mahindi,
mahindi
Raia
wanataka
unga
ya
ugali
Nyumbani
1 Hatua
2 Zuzu
3 Kookoo
4 Uko Wapi
5 Peperuka
6 Milele
7 Barua Ya Dunia
8 Hapo Zamani
9 Mahindi
10 Jana Usiku
11 Milele (Radio Edit)
12 Jinsi
13 Love You
14 My Darling
15 Sirudi
16 Heart Beat
17 Zuzu (Remix)
18 Mahindi (Radio Edit)
19 Nikupende
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.