paroles de chanson Uko Wapi - Elani
We
uko
wapi
eeh
Uko
wapi
eeh
We
uko
wapi
eeh
Nibembeleze
kwani
mie
ndiye
wako
We
uko
wapi
eeh
Uko
wapi
eeh
We
uko
wapi
eeh
Nichangamkie
kwani
mie
ndiye
wako
Kutoka
utotoni
niliyekuwa
naye
Maziwa
ya
nyayo
tukicheza
hicho
Yeye
Rabi
kanibariki
mimi
Na
nimekoma,
na
nina
noti
Lakini
malkia
wangu
Uwalinalo
vutia
ajabu
Nirudishie,
nirudishie
wewe
Nirudishie
utanipa
maisha
yangu
We
uko
wapi
eeh
Uko
wapi
eeh
We
uko
wapi
eeh
Nibembeleze
kwani
mie
ndiye
wako
We
uko
wapi
eeh
Uko
wapi
eeh
We
uko
wapi
eeh
Nichangamkie
kwani
mie
ndiye
wako
Ndiye
ndiye
wako
wako
wakoo
wakoo
ooh
oh
Nafanya
mimi
ninachokipenda
Muziki
asali
inaridhisha
Lakini
bado
sijajitosheleza
Natafuta
sukari
nikwangane
asali
Asali
sukari
sukari
asali
utamu
halisi
Ni
we,
we
pekee
We
uko
wapi
eeh
Uko
wapi
eeh
We
uko
wapi
eeh
Nibembeleze
kwani
mie
ndiye
wako
We
uko
wapi
eeh
Uko
wapi
eeh
We
uko
wapi
eeh
Nichangamkie
kwani
mie
ndiye
wako
Ndiye
ndiye
wako
wako
wakoo
wako
ooh
Weeh
oh,
weeh
oh
![Elani - Barua ya Dunia](https://pic.Lyrhub.com/img/k/y/5/0/ssto2v05yk.jpg)
1 Hatua
2 Zuzu
3 Kookoo
4 Uko Wapi
5 Peperuka
6 Milele
7 Barua Ya Dunia
8 Hapo Zamani
9 Mahindi
10 Jana Usiku
11 Milele (Radio Edit)
12 Jinsi
13 Love You
14 My Darling
15 Sirudi
16 Heart Beat
17 Zuzu (Remix)
18 Mahindi (Radio Edit)
19 Nikupende
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.