paroles de chanson Fid Q Ft Juma Nature - Utaua Game - Fid Q
Nilipotoka
mbali
na
ninaheshimu
nilipo
Sikuwa
na
umuhimu
kihivyo
stimu
zikanipa
elimu
ya
Biko
Kimaandiko
kimistari.
hadi
fans
wanascream
nikirap.
Sikuamini
kama
nina
zali
mpaka
nilipoidream
hiphop
Wanapagawa.
Na
baadhi
ya
mambo
nayoyajua.
Pia
nina
uwezo
wa
kufanya
mpaka
madawa
yanaugua
Wanapagawa
na
nyimbo
ngumu
hawa
#teamMabiiitoz
Achana
na
power
window.
sijui
rimz
za
dimpoz
Haileti
bingo,
mshiko?
Star
ishi
simple
Sanaa
iko
hivyo
sometimes.
hukataa
kukaaa
ulipo
Wanaodharau.
hujiletea
matatizo.
Hawajui
kama
wadau
hupendelea
kukuona
hivyo?
Bonge
la
staa.
donge
la
njaa.
hauna
kitu
Jikombe
ugongwe
mtaaa
ukuone
hauna
ishu
Ukishindwa
kujiandaa
jiandae
kushindwa
Mjinga
utaachwa
unashangaa
kumuona
Martin
Kadinda
Usmati
anaotinga,
majumba
mandinga
Ya
bwana
Almasi.
je
hizi
track
za
harakati
ni
ujinga?
HAPANA...
nguvu
ya
mamba
ni
maji
Na
umaarufu
au
kutamba.
kushika
namba
ni
bahati
Sio
kipaji
kama
Kubanda
eti
unachana
kigumu
Kisa
track
ikivuma
sana
kwenye
chati
haidumu
Amani
kwa
chachage
na
MAKUWADI
wa
SOKO
HURIA.
Baba
asante
kwa
UTAFITI
na
ZAWADI
ya
ALMASI
ya
BANDIA
NYUMBANI
nasikiliza
DUNIA
YA
SASA
ya
MARIJANI.
Najiuliza
tutarithi
nini
ikiwa
IMANI
ishakwisha
tangu
zamani?
Labda
kubisha
na
wakinitisha
najihami.
Inasikitisha
unapoibiwa
na
aliyekupigisha
ni
jirani
Pole
MAPROSOO(uhujumu
--uchumi)
umefanya
umetubu.
WAZEE
ni
wahuni
hadi
soo
waay
back
before
SUGU
Taifa
la
kondoo.
huendeshwa
na
serikali
ya
Dubu
Na
MBWA
MWITU
wenye
siri.
ili
bepari
umuabudu
Kimahakama,
kiserikali,
kidini
umsujudu.
Huo
ni
utumwa
pia
Unafanya
vijana
wanaumia.
Tunaishia
kufia
mabatani
kama
nzi
ndani
ya
glass
ya
bia.
(Juma
Nature)
Siri
ya
mtungi
aijuaye
kata.
Komaa
kaza.
kisha
utapata
Siri
ya
mchezo
naijua
mimi.
Tu.
na
hakuna
mwingine
Tofauti
ya
BIASHARA
na
SIASA
ikila
hasara
inaweza
buma
Wakati
SIASA
kila
mara
ukiwa
unang'ara
ujue
kuna.
kinara
Anayeunda
msafara
wa
wanaojituma
Na
kuchuma
kwa
kukufanya
uwe
imara
hapo
hasara
hakuna
KIDUMU
CHAMA
CHA
MASELA
Ukoloni
mambo
leo
umetupa
uhuru
wa
bendera,
Tuone
kufuru
za
wenye
hela
TANZANIA
ni
demu
wa
mtungo
wanamuiita
CHA
WOOTE
HANGOVER
. anaikimbia
kwa
kupiga
mtungi
saa
zote
Mkubwa
anazuga
atasolve
matatizo
ya
nchi
yake
Na
gari
bovu.
halisukumwi
kwa
kukaa
ndani
yake
MAENDELEO
ni
ile
ndoto.MWEZEKAJI
ashaipuuza.
Je
Kukaa
karibu
na
moto
ni
kuuota
au
kujiunguza?
Hakuna
UHURU
wa
kweli
(Africa)
msidanganywe
na
illusion
Na
daily
tunafeli
sababu
ya
POLITICAL
institutions
CIVILIZATION
imeadvance
sasa
wanatuua
economically.
Hakuna
utumwa
mbaya
kama
ule
wa
kujiona
uko
free
Kuusaka
ukweli
ni
sawa
na
kumenya
kitunguu
Kila
ganda
litakutoa
machozi
na
utabaki
macho
juu
Ukishafika
kwenye
kiini
niambie
nini
utagundua?
Zaidi
ya
mafaili
yaliyounganika
utaghairi
kuyafunua?
Wamejivisha
U-NOAH.
SAFINA
zao
zikatoboka
Wakajivisha
U-MUSSA.
FIMBO
zao
hazikugeuka
NYOKA
Sasa
wanaujaribu
U-MUNGU
MTU
kuamua
nani
leo
atatoka!?
(Juma
Nature)
Siri
ya
mtungi
aijuaye
kata.
Komaa
kaza.
kisha
utapata
Siri
ya
mchezo
naijua
mimi.
Tu.
na
hakuna
mwingine
1 Fid Q Ft J Bryant - Danger
2 Fid Q Ft Matonya - Usinikubali Haraka
3 Fid Q Ft Ncha Kalih & AY - Shimo Limetema
4 Fid Q - I Am Professional
5 Fid Q Ft Zahiri Zorro - Ripoti Za Mtaani
6 Fid Q - Mwanamalundi
7 Fid Q - Propaganda
8 Fid Q - Temanoleji
9 Fid Q Ft Bi Kidude - Juhudi Za Wasiojiweza
10 Fid Q Ft Bizzman - Mama
11 Fid Q Ft Doreen - Nyota Ya Mchezo
12 Fid Q Ft Hard Mad - Ninapotoka
13 Fid Q Ft Juma Nature - Utaua Game
14 Fid Q Ft Nylon - Wananiita King
15 Fid Q Ft Qj - Kila Siku
16 Fid Q Ft Mzungu Kichaa - Hey Lord
17 Fid Q - Propaganda New Version - Bonus Track
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.