paroles de chanson Amelowa - Harmonize
Hiyo
miinamo
huko
nyuma
yaliyomo
yamo
eeeh
Binti
wa
makamo
come
closer
na
give
me
some
more
Kama
tunda
lilimshinda
Adamu
akashindwa
kuvumilia
Sa
kwanini
tuitane
binamu
na
nyongo
itatumbukia
Ulimi
ukipitiliza
kunanimaliza
mwenzako
bado
najiuliza
Hivi
ni
kweli
ama
tunaigiza
Moyo
umezama
kwake
bila
yeye
siwezi
toboa
Mi
ndo
fundi
wa
raha
zake
natwanga
nakukoboa
Alinikumbatia
mkono
wa
kushoto
kwenye
gia
Zikanipanda
hisia
na
nilipochuchumia
maji
yakatoka
Amelowa,
amelowa
amelowa
na
mvua
Amelowa
amelowa
amenyeshewa
na
mvua
Mtoto
amelowa
amelowa
amelowa
na
mvua
Amelowa
amelowa
amenyeshewa
na
mvua
Uuuh
aaah
ameniweka
kwenye
chupa
ndo
maana
natamba
Uuuuh
aaah
kwenye
papara
pupa
nawona
washamba
Jeupega
mwanao
wenye
kwilejakuloa
jejikukila
mwanau
Liduvalipapa
ukakaukyilamba,
liduvalipamba
ukakaukakyilamba
Moyo
umezama
kwake
bila
yeye
siwezi
toboa
Mi
ndo
fundi
wa
raha
zake
natwanga
nakukoboa
Alinikumbatia
mkono
wa
kushoto
kwenye
gia
zikanipanda
hisia
Na
nilipochuchumia
maji
yakatoka
Amelowa,
amelowa
amelowa
na
mvua
Amelowa
amelowa
amenyeshewa
na
mvua
Mtoto
amelowa
amelowa
amelowa
na
mvua
Amelowa
amelowa
amenyeshewa
na
mvua
Ameniweka
kwenye
chupa
ndo
maana
natamba
Kwenye
papara
pupa
nawona
washamba
Alinikumbatia
mkono
wa
kushoto
kwenye
gia
zikanipanda
hisia
Na
nilipochuchumia
maji
yakatoka
amelowa
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.