paroles de chanson Mwenyewe - Harmonize
Cough
Yao
yaoo
Mmmh
mmmh
mmmh
Alrighty
Tisini
na
nne
march
fifteen
Beginning
of
my
world
Nilipozaliwa
nikadondoka
chini
Hakukua
na
kitanda
kwa
ward
Basi
mgongo
wa
mama
nikaufanya
godoro
Na
kilichonikuza
mihogo
na
viporo
Nilipelekwa
shule
ila
bado
nikawa
mtoro
Kingereza
nilichokalili
labda
tomorrow
ama
today
Zikafika
time
ya
kubalehe
Nikayajua
mapenzi
nikagundua
bila
pesa
siyawezi
Ni
ujinga
Nikadondokea
umachinga
Hapakuchi
panakucha
siku
zikasogea
Pruuh
mpka
dar
es
salaama
nikaanza
jitegemea
Nyumbani
baba
na
mama
wakiniombea
Mwanetu
nenda
salama
na
ukipata
rejea
Mmh
na
ukipata
Hapo
akili
ndo
ikaanza
kukomaa
Na
nikajuta
kwanini
sikusomaa
Jinsi
jua
la
utosi
linavyochoma
Na
usiku
baridi
ikanipa
homa
nusu
inuchukue
uhai
mmmh
Mi
nimepitia
mengi
ndo
mana
sio
mshamba
wa
helaa
Kwa
ajili
ya
vitu
vidogo
sigombani
na
maselaa
We
kubali
kudharauliwa
Kukataliwa
Kupata
majaliwa
Kula
kinacholiwa(mwenyewe)
Raha
jipe
mwenyewe
Basi
kamata
chupa
fungua
na
mimina(mwenyewe)
Raha
jipe
mwenyewe
Lewa
tukuone
unavyocheza
kichina(mwenyewe)
Raha
jipe
mwenyewe
Anaekupenda
zaidi
ni
wewe(mwenyewe)
Raha
jipe
mwenyewe
Ata
anaekujua
zaidi
ni
wewe(mwenyewe)
Raha
jipe
mwenyewe
Masikini
na
wanawe
tajiri
na
mali
zake
Asie
na
shida
nawe
mwache
aende
zake
Usibweteke
na
ulicho
nacho
Pia
usiteseke
kwa
walicho
nacho
Riziki
mafungu
saba
pengine
leo
zamu
ya
sita
Kaza
moyo
epusha
roho
yakusita
We
umezaliwa
peke
yako
Utakufa
peke
yako
Na
utazikwa
peke
yako
So
usiwaeleze
shida
zako
Ukidhani
ndugu
zako
kumbe
ndo
wabaya
wako
Wee
komaaa(mwenyewe)
Raha
jipe
mwenyewe
Basi
kamata
chupa
fungua
na
mimina(mwenyewe)
Raha
jipe
mwenyewe
Lewa
tukuone
unavyocheza
kichina(mwenyewe)
Raha
jipe
mwenyewe
Anaekupenda
zaidi
ni
wewe(mwenyewe)
Raha
jipe
mwenyewe
Ata
anaekujua
zaidi
ni
wewe(mwenyewe)
Raha
jipe
mwenyewe
Cough
Alrighty
Yaoo
yaoo
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.