paroles de chanson Utanikumbuka - Harmonize
Big
Boy
On
The
Beat
Ooh
Aah
Ooh
Aah
Aaah
Ooh
Aah
Ooh
Aah
Aaah
Ooh
Aah
Ooh
Aah
Aaah
Ooh
Aah
Ooh
Aah
Aaah
Ooh
Aah
Ooh
Aah
Aaah
Ooh
Aah
Ooh
Aah
Aaah
Natamani
kuimba
Pengine
ukasikia
Maneno
yangu
ya
mwisho
Ila
sauti
ndo
inagoma
Yani
kama
inakwaruza
Huruma
Ukinitazama
machoni
yamevimba
Nimekesha
nalia
Na
sijui
lini
mwisho
Mwili
wa
joto
na
homa
Yani
mpaka
naunguza
Mapenzi
hayana
dhihaki
Mwenzako
nishawaza
hadi
faraki
Ama
niende
kortini
nikashitaki
Kwamba
unadhulumu
furaha
yangu
Mdomoni
una
maji
we
samaki
Sa
mbona
hata
kusema
hutaki
Ama
ndo
unataka
sitaki
Ina
maana
huzioni
jitihada
zangu
Pengine
donda
nililokupa
Limefuta
upendo
Unajaribu
kujilazimisha
Mengine
unafanya
kuniridhisha
Mwili
umekonda
umebaki
mifupa
Kulilia
upendo
Basi
moyo
rudisha
Kama
umenisamehe
na
yameisha
Kinyonge
ninajiuliza
bila
majibu
Wapi
nitapoharibu
Kila
ninachojaribu
hakikupendezi
Utanikumbuka
mpenzi
uta...
Utanikumbuka
mpenzi
uta...
(Utanikumbuka
mpenzi
uta...)
Maana
wapo
watakaokukosea
Na
wasikiri
kosa
Muda
wote
wanawaza
kukuchezea
Hakuna
wa
kukuposa
Eeh
eeh
Inaboa
mapenzi
yakishaisha
Licha
ya
kujitoa
Mwenzangu
kumridhisha
Eti
mara
yupo
bize
yupo
bize
Alipo
hataki
nimuulize
Anajua
lazima
iniumize
Imeandikwa
samehe
na
usilipize
Huenda
hata
msamaha
ulionipa
ni
kazi
bure
Kama
umeshindwa
nifanya
Nijione
kama
yule
Rajabu
wa
zamani
Rudi
Ma
unipe
joto
Hili
baridi
kama
Toronto
Si
ulijiita
Kurwa
mi
Doto
Na
utanipa
watoto
Sa
mbona
sikuoni
Ninajiuliza
bila
majibu
Wapi
nitapoharibu
Kila
ninachojaribu
Hakikupendezi
Utanikumbuka
mpenzi
uta...
Utanikumbuka
mpenzi
uta...
(Utanikumbuka
mpenzi
uta...)
Maana
wapo
watakaokukosea
Na
wasikiri
kosa
Muda
wote
wanawaza
kukuchezea
Hakuna
wa
kukuposa
Eeh
eeh
Konde
Boy
Call
Me
Number
mber
One,
Bakhresa
Uuh
Uuh
Uuh
Utanikumbuka...
Uuh
Uuh
Uuh
Utanikumbuka...
Na
sikuombei
mabaya
(Uuh
Uuh
Uuh
Utanikumbuka...)
Ooh
Mabaya
Na
sitakusema
vibaya
(Uuh
Uuh
Uuh
Utanikumbuka...)
Uso
umeumbwa
na
haya
Uncle
Duke
unipigie
ukinikumbuka
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.