paroles de chanson Dunia - Harmonize
Eti
mziki
shetani,
pesa
nazo
shetani
Mpira
na
pombe
shetani
Mademu
na
mihadarati,
shetani
Naamini
Mungu
yupo
najua
Ndo
ananifanya
ninapumua
Akitaka
hata
sasa
ananichukua
Ila
mi
nataka
kujua
Ni
nini
dunia
Dunia
dunia
dunia
Hivi
ni
nini
dunia
Dunia
eeh
Mmmh
wanaoishi
kwa
imani
Misikitini
makanisani
Uwepo
wao
hauonekani
Hali
zao
zipo
taabani
Hivi
ulikuaga
wapi
before
Hujaja
duniani
Na
kwanini
kunakifo
Unapokwenda
hapajulikani
Sawa
safari
ni
yetu
sote
Na
hakuna
aliyekwenda
na
akarudi
Japo
kutusimulia
Kama
pazuri
ama
pabaya
Uwe
tajiri
ama
masikini
Kwa
mchanga
utarudi
Minatoa
wosia
tusiishi
kwa
ubaya
Kunakidude
kinaitwa
mapenzi
Hakijawahi
kueleweka
Wakati
wewe
unalia
mwenzako
yeye
anacheka
Hivi
ni
nini
dunia
dunia
dunia
Ni
nini
dunia,
dunia
eeh
Eeh
Pedezye
Kumbuka
Msalimia
mwijaku
Tuombeane
mwisho
mwema
(eeh
eeh
yeah)
Tuombeane
mwisho
mwema
(maana
hakuna
anaejua
kesho)
Tuombeane
mwisho
mwema
(kama
wewe
muislamu)
Tuombeane
mwisho
mwema
(omba
kwa
dini
yako)
Tuombeane
mwisho
mwema
(kama
wewe
ni
mkristo)
Tuombeane
mwisho
mwema
(nisiri
nisiri)
Tuombeane
mwisho
mwema
(tuombeane
nisiri)
H
1 Sorry
2 Outside
3 Serious Love
4 Always
5 Why
6 Turn Up
7 Mtaje
8 Usia
9 Dunia
10 Mdomo
11 Influencer
12 Mood
13 Single
14 What Do You Miss
15 I Can't Stop
16 One Question
17 Sandakalawe (Remix)
18 Muziki
19 Kamaliza
20 Teacher
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.