Linah - Atatamani paroles de chanson

paroles de chanson Atatamani - Linah

Mhmm, yeah-yeah
Mi' napenda nisikiapo sauti yako, boy
Inapoimba masikioni mwangu, nahisi kupata raha
Mi' nahisi nikiwa nawe nitakuwa juu
Alioniacha mwanzo, simfuati tena
Mi' naomba unipe kumbatio lako, oh
Baridi ilikuwepo mwanzo, isiwepo tena
Mi' nahisi ukiwa nami nitakuwa juu
Aloniacha mwanzo, simfuati tena
Atatamani niwe wake (akiniona nipo nawe) eeh
Akithubutu anifuate, eeh (ukimuona rusha mawe) oh
Atatamani niwe wake, ye (akiniona nipo nawe) aah
Akithubutu anifuate, eeh (ukimuona rusha mawe)
Eh, eh, mhmm
Aliposema mimi wa kazi gani, hii?
Wewe uliwaza, utanipata lini
Baby, tambua hakujua thamani yangu
Wewe unayefahamu, naomba unipende
Aliposema mimi wa kazi gani, hii?
Wewe uliwaza, utanipata lini
Baby tambua hakujua thamani yangu
Wewe unayefahamu, naomba unipende
Atatamani niwe wake (akiniona nipo nawe) eeh
Akithubutu anifuate, eeh (ukimuona rusha mawe) oh
Atatamani niwe wake, ye (akiniona nipo nawe) aah
Akithubutu anifuate, eeh (ukimuona rusha mawe)
Eh, eh (ukimwona rusha mawe) mm
Atatamani niwe wake (akiniona nipo nawe) aah
Akithubutu anifuate eeh (ukimuona rusha mawe) oh
Atatamani niwe wake, ye (akiniona nipo nawe) aah
Akithubutu anifuate, eeh (ukimuona rusha mawe)
Aah, oh-oh, ukimuona rusha mawe, ye...

Writer(s): Linah

Linah - Ole Thembalami

Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.