paroles de chanson Najua - Linah
Najua
kama
umelala
Na
huwezi
amka
Ila
kufumba
kwako
macho
Kusinifanye
nami
nikufumbe
kwenye
moyo
wangu
Najua
kama
umelala
na
huwezi
amka
Ila
kufumba
kwako
macho
kusinifanye
nami
nikufumbe
kwenye
moyo
wangu
Furaha
yangu
mimi
kulia
Mpaka
nahisi
duniani
kama
naonewa
Am
a
single
lady
nimebakia
yule
niliyempenda
Kachukuliwa
Lonely
lonely
nimebakia
nusu
ya
moyo
wangu
imeteuliwa
Muda
wote
mpweke
huku
nalia
Mpaka
nahidi
nakufuru
Mungu
kwenye
hii
dunia
Nililia
machozi
nilipoambiwa
haupo
na
mie
Malaika
naomba
simango
uumpokee
na
umshangilie
Nimezongwa
na
upweke
unanifanya
nikukumbuke
Picha
yako
usoni
inanifanya
chozi
linitoke
Nashindwa
kulala
haja
ya
moyo
wangu
naijua
Machozi
hayaniishi
homa
ya
mapenzi
naugua
Nashindwa
kulala
haja
ya
moyo
wangu
naijua
Machozi
hayaniishi
homa
ya
mapenzi
naugua
Furaha
yangu
mimi
kulia
mpaka
nahisi
duniani
kama
naonewa
Am
a
single
lady
nimebakia
yule
niliyempenda
kachukuliwa
Lonely
lonely
nimebakia
nusu
ya
moyo
wangu
imeteuliwa
Muda
wote
mpweke
huku
nalia
mpaka
nahisi
nakufuru
Mungu
kwenye
hii
dunia
Nashindwa
kulala
haja
ya
moyo
wangu
naijua
Machozi
hayaniishi
homa
ya
mapenzi
naugua
Nashindwa
kulala
haya
ya
moyo
wangu
naijua
Machozi
hayaniishi
homa
ya
mapenzi
naugua
Furaha
yangu
mimi
kulia
mpaka
nahisi
duniani
kama
naonewa
Am
a
single
lady
nimebakia
yule
niliyempenda
kachukuliwa
Lonely
lonely
nimebakia
nusu
ya
moyo
wangu
imeteuliwa
Muda
wote
mpweke
huku
nalia
mpaka
nahisi
nakufuru
Mungu
kwenye
hii
dunia
Furaha
yangu
mimi
kulia
mpaka
nahisi
duniani
kama
naonewa
Am
a
single
lady
nimebakia
yule
niliyempenda
kachukuliwa
Lonely
lonely
nimebakia
nusu
ya
moyo
wangu
imeteuliwa
Muda
wote
mpweke
huku
nalia
mpaka
nahisi
nakufuru
Mungu
kwenye
hii
dunia
Album
Ole Thembalami
1 Nakupenda
2 Angalau
3 Atatamani
4 Najua
5 Unanipa Tabu
6 Atatamani - Remix
7 Bora Nikimbie
8 Fitina
9 Tumetoka Mbali
10 Linah Ole Thembelami
11 Nia Yangu
12 Ole Thembalami
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.