paroles de chanson Chocheeni Kuni - Mrisho Mpoto
Hey,
yea
ooh,
Chocheeni
kuni
mbichi,
Moto
ukoleee,
ugali
uive,
Mnacho
taka
kitokee
Alikeni
mamluki,
Wakija
wangojee,
Mikeka
wawekee
Wanachotaka
kitokee.
Chochea,
Chochea,
Chochea,
Chochea,
Chochea,
Chochea,
Chochea,
Ooh
Chochea,
Chochea,
Chochea,
Chochea,
Chochea,
Chochea,
Chochea,
Chochea.
WaTanzania,
mwenda
kwao
sikuzote
haogopi
giza,
Acheni
nirudi
nyumbani,
safari
Imeni
shindig,
Nauli
zenu
ntarudisha,
Mtu
anatapika
nyongo
yake,
anailamba
tena
anaangaliwa,
Ni
Sawa
na
tawi
kavu
linapoanguka,
Watu
wakapiga
kelele,
ayaa.
Katika
misimu
minne
ya
Mwaka,
tuongeze
misimu
mwingine
WA
tano,
wakujishtusha.
Raha
ya
jamvi
sikuzote
ni
viraka
viraka.
Na
dungu
linamficha
mlinzi
WA
ndege
wakati
WA
mvua
tu.
Eti,
ooh,
imenyesha
juzi
tu,
Maji
sio
mengi,
nisubirini
kule.
Ilishindikana
vipi
kuyapima
maji
kwa
mti,
Ndo
mkawaambia
Watu
wavuke.
Mjomba,
binadamu
ni
Kama
ganda
LA
kitabu,
paka
umfungue
maandishi
Ndo
uweze
kumuelewa.
Eti,
lililotokea
mbali
tufanye
limepita,
na
haliwezi
kumdhuru
mwingine.
Kweli?!
Inayotaka
kunyesha,
hua
haisubiri
mawingu,
Mimi
sidhani,
Kama
kujiponya
kwa
mambo
mzito
tubahitaji
cheti
kilichigongwa
mhuri
wa
moto
au
mtaalamu
wa
magonjwa
ya
akili,
zaidi
yakutumia
Neno
sahau.
Unawaulizaje
Watu
magongo
ya
nini?
wakati
Umesema
kuna
nyoka!
Mjomba,
wewe
si
Uliwapak
wanja,
Ngoja
wao
wakupake
pilipili,
alafu
kwenye
kimbolela
iwe
zamu
yako
kuzinga.
1 Nikipata Nauli
2 Waite
3 Asanteni Kwa Kuja
4 Adela
5 Chocheeni Kuni
6 Wanangu
7 Uhuru Wangu
8 Deni La Hisani
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.