paroles de chanson Baikoko - Nandy
Huba
langu
nilikupa
sioniie
Upendo
wangu
ukautupa
jahani
Kumbe
doriani
tamu
mdomoni
harufu
puani
Usio
na
uzio
ya
chumbani
wayatoa
hadharani
Acha
niupete
niupete
nisije
ula
chuya
Acha
niyabwage
niyabwage
gubu
sijazoea
Acha
niupete
niupete
nisije
ula
chuya
Acha
niyabwage
niyabwage
gubu
sijazoea
Ayaaah
ayaaah
aaaah
ayaah
Ayaaah
ayaaah
aaaah
ayaah
Wala
si
malumbano,
imejawa
mifano,
wakileta
maneno
siwakohoi
Wala
si
malumbano,
imejawa
mifano,
wakileta
maneno
siwakohoi
Halo
halo
Kiroho
papo
papo
huba
la
roho
yako
Kiroho
papo
papo
huba
la
roho
yako
Singo
nililosingwa,
nimesingwa
unyagoni
Kachiri
wee
funga
mkanda,
mbona
yako
huyaneni
Acha
nitete
nitete
roho
yangu
Usikurupuke
ukapoteza
mudi
yangu
Sikupata
tafadhali
kunikeshesha
Hukujali
yangu
hali
kutwa
kunichoreesha
Wala
si
malumbano
imejawa
mifano
wakileta
maneno
siwakohoi
Wala
si
malumbano
imejawa
mifano
wakileta
maneno
siwakohoi
Halo
halo
Kiroho
papo
papo
huba
la
roho
yako
Kiroho
papo
papo
huba
la
roho
yako
Kiroho
papo
papo
huba
la
roho
yako
Kiroho
papo
papo
huba
la
roho
yako
1 Kivuruge
2 The Butterflies - Asante Mama
3 Hazipo
4 Nikumbushe
5 Kiza Kinene (feat. Sauti Sol)
6 Wasikudanganye
7 Aibu
8 Na Nusu
9 One Day
10 Nigande
11 Thamani
12 Bado
13 Nsuna Suna
14 Kata (feat. Ommy Dimpoz)
15 Kongoro
16 Baikoko
17 Nyanyasa
18 Powerful
19 Nalivua Pendo (Remix)
20 Nagusa Gusa (Remix)
21 Vagara
22 Mimi Ni Wa Juu
23 Sijja Kulya Mukyalo
24 Nagusa Gusa
25 Nimetoka Mbali (feat. Cyrill Kamikaze)
26 Magufuli Tena
27 Acha Lizame (feat. Harmonize)
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.