paroles de chanson Acha Iwe - Nedy Music
Umenifuta
alama
ya
upendo
Kwenye
penzi
langu
Tena
ukashindwa
kuficha
matendo
Kwenye
mboni
langu
Najihisi
moyo
una
ganzi
Ngumu
kufika
safari
yangu
Kinywa
kibogoyo
silambi
Wala
kutafuna
Aliniteka
akili
yangu
Nikazama
mazima
mazima
Mwisho
wa
siku
ikala
kwangu
Kichwa
ikabaki
na
jina
Oooh
yanauma
Ndio
maana
kila
siku
shida
shida
Tajiri
wa
huzuni
Ndonda
limekosa
tiba
Nitapona
lini?
Mie
eh
acha
iwe,
we
acha
iwe
Acha
iwe,
bora
nibaki
mwenyewe
Acha
iwe,
we
acha
iwe
Acha
iwe,
bora
nibaki
mwenyewe
Nilishapona
kidonda
Ona
kaja
kukitonesha
Kinywa
nong'ona
kupenda
Nakosa
jibu
kuwtwa
nakesha
Naumwa
kuwaza
eh
Huenda
pengine
moyo
hujaridhia
Nyota
angaza
eh
Mizani
nipime
wapi
nafsi
itatulia
Ama
ni
nuksi
mikosi
Nyota
ya
punda
yangu
kubeba
mizigo
Ninakazana
kufosi
Cha
jana
kuvunda
kwangu
mi
nishazoe
Kila
siku
shida
shida
Tajiri
wa
huzuni
Ndonda
limekosa
tiba
Nitapona
lini?
Mie
eh
acha
iwe,
we
acha
iwe
Acha
iwe,
bora
nibaki
mwenyewe
Acha
iwe,
we
acha
iwe
Acha
iwe,
bora
nibaki
mwenyewe
Kila
siku
shida
shida
Tajiri
wa
huzuni
Ndonda
limekosa
tiba
Nitapona
lini
mie
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.