paroles de chanson Nyamaza - Rayvanny
Weka
pombe
sigara
chini
subiri
tuongee
Zima
kijiti
marijuana
za
nini?
Ngoja
tuongee
Mbona
ulisema
mengi
ukitaka
nipotee
Sa
umefanya
nini?
Na
ulisema
nini
wala
usijitetee
Macho
hayana
pazia
Nilimwona
navutia
Naye
kanikubalia
Kumbe
moyoni
unaumia
Dunia
imejaa
visanga
Ubinadamu
umekuwa
majanga
Tembo
amefungwa
kwa
banda
Anataka
kula
kuku
pia
na
vifaranga
Mungu
tu
akusamehe
Wewe
ni
kama
ndugu
yangu
Upunguze
ma
ugali
Uadui
wa
nini
mwenzangu
we
Ukitenda
kosa
na
haujaomba
radhi
unakosea
(Kosea)
Mama
yake
mzazi
huruma
ungemwonea
(Mwonea)
Chunga
kinywa
kiwe
na
kituo
Hekima
ndo
iwe
funguo
Maneno
ya
nini?
Unajivua
nguo
Kumbuka
ulimwengu
ni
kama
chuo
Ungenyamaza,
kaa
kimya
Bora
ungenyamaza
kama
huna
la
maaana
Ungenyamaza,
ukikosa
heshima
Bora
ungenyamaza,
bora
kukaa
kimya
Ungenyamaza,
bora
ungenyamaza
Bora
ungenyamaza
Ungenyamaza
tu,
bora
ungenyamaza
Kuwa
muungwana
Mmmmh
hasira
hasara
Mimi
ni
ndugu
yako
kanitoa
kafara
Ukakesha
hukutaka
kulala
Ukipambana
niharibikiwe
kaka
wa
Mtwara
Ukasahau
mapenzi
ni
siri
Tena
siri
ya
wawili
Kilichokuponza
maadili
Tamaa
ukashindwa
isitiri
Tunza
heshima
yako
Na
mashabiki
zako
wajivunge
Na
unapotongoza
warembo
Boxer
usiweke
pembeni
Macho
hayana
pazia
Nilimwona
anavutia
Naye
kanikubalia
Kumbe
moyoni
unaumia
Ukitenda
kosa
na
haujaomba
radhi
unakosea
(Kosea)
Mama
yake
mzazi
huruma
ungemwonea
(Mwonea)
Chunga
kinywa
kiwe
na
kituo
Hekima
ndo
iwe
funguo
Maneno
ya
nini?
Unajivua
nguo
Kumbuka
ulimwengu
ni
kama
chuo
Ungenyamaza,
kaa
kimya
Bora
ungenyamaza
kama
huna
la
maaana
Ungenyamaza,
ukikosa
heshima
Bora
ungenyamaza
bora
kukaa
kimya
Ungenyamaza,
bora
ungenyamaza
Bora
ungenyamaza
Ungenyamaza
tu,
bora
ungenyamaza
Kuwa
muungwana
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.