Rich Mavoko - Mapenzi paroles de chanson

paroles de chanson Mapenzi - Rich Mavoko



Hivi wewe ungewezaje
Kuishi bila unayempenda
Ama ingetokeaje
Yote dunia kukutenda
Kwa navyojua mimi
Mapenzi ya mwisho matamu
Hasa ukishapenda (Weeeloo)
Mwenzi akakuchenga (Weeelooo)
Zinahutumwa hisia
Na mwili ukipata maradhiii
Ukizinga kukimbiwa
Utabeba silaha jambazi
Kuna muda unaenjoy (Matamu)
Kuna muda unalia (Machungu)
Utayasifiaaaa (Matamu)
Kesho yataki tena (Machungu)
Kadata tatizo Mapenziiii
Kawa mlevi kisa Mapenziiii
Kafilisika eti Mapenziiii
Wanagombana kisa Mapenziiii
Kadata tatizo Mapenziiii
Kawa mlevi kisa Mapenziiii
Kafilisika eti Mapenziiii
Wanagombana kisa Mapenziiii
Mchezo gani huo
Mwisho wa kumbu kuiwema
Ata utende mazuri bure
Utamu ukiisha mjini shule
Sa itakuwaje na itakuwaje
Nshakuwa teja na uwezidi
Kidole ushapinga naye
Mpaka mapepe unaibiwa
Zinahutumwa hisia
Na mwili ukipata maradhiii
Ukizinga kukimbiwa
(Utabeba silaha jambazi)
Kuna muda unaenjoy (Matamu)
Kuna muda unalia (Machungu)
Utayasifiaaaa (Matamu)
Kesho yataki tena (Machungu)
Kadata tatizo Mapenziiii
Kawa mlevi kisa Mapenziiii
Kafilisika eti Mapenziiii
Wanagombana kisa Mapenziiii
Kadata tatizo Mapenziiii
Kawa mlevi kisa Mapenziiii
Kafilisika eti Mapenziiii
Wanagombana kisa Mapenziiii




Rich Mavoko - Mapenzi
Album Mapenzi
date de sortie
28-05-2021




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.