paroles de chanson Ndo Mana - Rich Mavoko
Aiyaaaah
Aaaaaaaahhhh
Olalalalalah
Nakesha
nikihesabu
nyota
Labda
masiku
yajongee
Nikiota
eti
nitaokota
Ile
radha
ni
miee
Kwa
jihadi
nishindane
Nikirejeshe
kilichopotea
Nikose
chongo
mimi
Kwa
kengeza
niende
komea
Night
mwili
wa
baridi
baridi
Pembeni
shahidi
nani
Baki
mabua
mahindi
mahindi
Shambani
nimecheka
na
nyani
Mi
sio
wa
msiba
sio
wa
heri
Niseme
mi
kwa
kejeli
Machinga
kaachwa
feri
Matanga
basi
kwa
herii
Tukaachana,
ndo
mana
Ndo
mana,
ndo
mana
Inauma
sana
sana
Ndo
mana
Ndo
mana,
ndo
mana
Inauma
sana
sana
Mwana
pori
kulikosa
shina
Kulikosa
jina
aibu
kwa
nani?
Tabia
za
Mwinyi
mpeku
Yaani
asili
ni
chetu
Nijitose
nitange
tange
kwa
nani
Nipate
nini?
Pombe
naikataa
kwa
imani,
nahisi
majini
Kijakazi
nisiye
na
kazi
Sipandi
ngazi
hukujali
Huu
my
imani
mi
sina
zari
Night
mwili
wa
baridi
baridi
Pembeni
shahidi
nani
Baki
mabua
mahindi
mahindi
Shambani
nimecheka
na
nyani
Mi
sio
wa
msiba
sio
wa
heri
Niseme
mi
kwa
kejeli
Machinga
kaachwa
feri
Matanga
basi
kwa
herii
Tukaachana,
ndo
mana
Ndo
mana,
ndo
mana
Inauma
sana
sana
Ndo
mana
Ndo
mana,
ndo
mana
Inauma
sana
sana
Aaah
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.