Wakadinali - Aroma (Sewersydaa) paroles de chanson

paroles de chanson Aroma (Sewersydaa) - Wakadinali



Brrt
Eeh joh
The art of war
Never go to war in an empty stomach (Never never)
Uki-abusiwa Rome juwa rome ni ya Romans
Kienyeji ako top ana miss tu romance
Naeza icop lakini, hio ndom haina aroma
Ndom yako hainanga aroma
Hio ndom haina aroma
Straight up na sipigi corner
Nataka ndom ina aroma
Ndom yako hainanga aroma
Hio ndom haina aroma
Straight up na sipigi corner
Nataka ndom ina aroma
Kuna baridi tuna freeze
Ukame still, ma ng'ombe zinatoa ribs
Mapedi wako biz wanakinda ma riz
Wengine wana tuingiza na spliff
Ilibidi niingie Eastleigh nikinde sling, at least nichukue ya stick
Madiwa wame-stop mawada huko chini, nichi, chini kwa tips
Scene, tukipiga tunahama
Na tuna achanga hio dipo lawama (Lawama)
Hatuna kakitu, laana tunarushianga fam' ya kamwana
Nukisha kisanda landlord anamblein harufu ya marijuana
Ooh sana, adi akatuma wife yake akam tu preachia Hosanna
Chain huwa haipitishwi na nyuma
Ngwai inapasiwangwa pande left
Na ka uliskia ni rumours, ati uliona, ukanusa na huna evidence
Zangu ni Quiver, Quiver, Reggae ikishika tunauguzanga picha
Labda tukuwache negative, ambia Dj si ndio tulibeba ma mixer
Never go to war in an empty stomach
Uki-abusiwa Rome juwa rome ni ya romance
Kienyeji ako top ana miss tu romance
Naeza icop lakini, hio ndom haina aroma
Ndom yako hainanga aroma
Hio ndom haina aroma
Straight up na sipigi corner
Nataka ndom ina aroma
Ndom yako hainanga aroma
Hio ndom haina aroma
Straight up na sipigi corner
Nataka ndom ina aroma
Sidai makasiriko kaskie vibaya na huko
Saa hii tukona Ruto
Acha tuone kama atajaza ama atachimba hio loophole
By the way nani alioa uko?
Saa hii ningekuwa nimeivisha hio ngoso
Tv yangu haijawai onwa mboso
Laptop passcode joh hukuwanga local
Niko tempted kuoa goshodo
Ass na top yake, what a combo
Mziza na uko kwa vyombo?
Enyewe vita zingine ni za roho
Anapenda kunirombosea, nika anataka mi nipigane na riong'o
System ina force njaa
Iliforce jam, ndio nikachukua Psalms
Traffic cop hakumind though
Hii record mtaichezea kwa vinyl
Kuna chizi alishitia urinal
Wanapenda nikiwatusi in high note (Umbwa!)
Kesi ya weed pelekeni high court, kama mnaona ina wa appeal
Si ndio ma white rhino, na sioni anytime kama tuta-go extinct
Never go to war in an empty stomach
Uki-abusiwa Rome juwa rome ni ya romance
Kienyeji ako top ana miss tu romance
Naeza icop lakini, hio ndom haina aroma
Ndom yako hainanga aroma
Hio ndom haina aroma
Straight up na sipigi corner
Nataka ndom ina aroma
Ndom yako hainanga aroma
Hio ndom haina aroma
Straight up na sipigi corner
Nataka ndom ina aroma



Writer(s): Salim Ali Tangut


Wakadinali - NDANI YA COCKPIT 3
Album NDANI YA COCKPIT 3
date de sortie
02-12-2022




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.