Wakadinali - Chocha (Domani) paroles de chanson

paroles de chanson Chocha (Domani) - Wakadinali



Hii chocha, we ni chocha
Story za chocha, juu ni machocha
Fanya kitu moja, mi ntakuchosha
Fanya kitu moja, hakuna hoja
Hii chocha, we ni chocha
Story za chocha, juu ni machocha
Fanya kitu moja, mi ntakuchosha
Fanya kitu moja, hakuna hoja
Uliza sish ikushow mi ndo wa nzakwa
Wa-wesh anajua mi ndo mjanja
Skankin' loud this is my show (this is my show)
We-we-we kwanza
Unatweng joh circus ka ndogo ya mapoko na pumps
Unatweng design ya soko ya mapoko na charms
Hero na umenyonya white na trumps
Wakadinali ka the vocals za Chance
Uliza Scar, Sewersydaa, popos around
Zaidi ya Boko Haram (zaidi za Boko Haram)
Uliza Scar, Sewersydaa, popos around
Zaidi ya Boko Haram
Hii chocha, we ni chocha
Story za chocha, juu ni machocha
Fanya kitu moja, mi ntakuchosha
Fanya kitu moja, hakuna hoja
Hii chocha, we ni chocha
Story za chocha, juu ni machocha
Fanya kitu moja, mi ntakuchosha
Fanya kitu moja, hakuna hoja
Uliza sish ikushow mi ndo wa nzakwa
Wa-wesh anajua mi ndo mjanja
Skankin' loud this is my show
Ha ha ha ha we kwanza
Hii chocha, we ni chocha
Story za chocha, juu ni machocha
Fanya kitu moja, mi ntakuchosha
Fanya kitu moja, hakuna hoja
Hii chocha, we ni chocha
Story za chocha, juu ni machocha
Fanya kitu moja, mi ntakuchosha
Fanya kitu moja, hakuna hoja




Wakadinali - NDANI YA COCKPIT 3
Album NDANI YA COCKPIT 3
date de sortie
02-12-2022




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.