Wakadinali - Chunga paroles de chanson

paroles de chanson Chunga - Wakadinali

Big beats Africa
Early in the morning nko maperas (ching' ching')
Chunga, njuang' yangu kamagera vile ina
Dunga dunga shang' ndeng'a, skeng'a
Ukijileta, zitakupenda
Niko maprama, whatever niko ma Gucci, Prada
Rada negro? Niko zozote utateveva
Early in the morning nko maperas, chunga
Njuang' yangu kamagera vile ina, dunga dunga
Shang' ndeng'a, skeng'a
Ukijileta, zitakupenda
Niko maprama, whatever niko ma Gucci, Prada
Rada negro? Niko zozote utateveva
Early in the morning nko maperas, chunga
Njuang' yangu kamagera vile ina, dunga dunga
Ifikie huyo mrazi huku mtaani kume
Chrome sana ka paipu ukihata
Matope una kanyanga mafi, yo
Hakunanga cha breki, nikipita na hio mbathi
(Mmh, hmm) one forty KM, drill, hamnipati
Njueng'a before itoke, nyi hubonga shonde
Rengwa before nitoke
Before nichoche mi hurudi stone age
Hii ni ya mafans only
Na my fuck bitches msikonde
Hapana smile smile shawry
Hio molly inaeza fanya nikuokote
Good Friday ilikuwa best adi
Monday tukashindwa ku resurrect
Cool daddy me hufunga belt
Andele andele hapa hakuna ku rest
Mapema ndio best
Maperas alafu inafika saa kumi na set
Masela ushageuka kwela? Unapenda kumblein
Unaanza kunisuka na hujui kwa
Bed vile mi hudunga
Chewed her ni kama mi ni mbuzi
Bitch aliitisha akapata akashtuka
Sheng' shengili, shembeteng' lingua
Zote ni lugha from ten, saa mbili, tisa
Tasa unashinda ukisema unakuja
Early in the morning nko maperas (ching' ching')
Chunga, njuang' yangu kamagera vile ina
Dunga dunga shang' ndeng'a, skeng'a
Ukijileta, zitakupenda
Niko maprama, whatever niko ma Gucci, Prada
Rada negro? Niko zozote utateveva
Early in the morning nko maperas (ching' ching'), chunga
Njuang' yangu kamagera vile ina, dunga dunga
Shang' ndeng'a, skeng'a
Ukijileta, zitakupenda
Dunga kwa face, neck, breast
Legs, chest, chest, chest
Mnjoro ni ya beshte-nge, mi hutumia, pencil
Wabebe wabe-be, whip ina bounce ka bat check
Yes, matembe matembe, ketepe inaitishanga
Reggae
Yo, washa ki Bob Marley, anaitaka, raw ndani
Siku izi ni funny
Kila mtu hunipenda nashindwa nita rob nani
Niliona maajabu siku nilikuja kurukwa
Na mon ami
Alikuwa bazu, saa hii zuba yo! What happened?
Hatuko category same
Sina nguvu ya kunego mabei
Natumia pesa ndio isinitumie
Haunipati kwa simu, nitext
Hii ni kapenguria three
Hatulali n'kitumia wadhi
Zii, hii ni kapenguria three
Hatulali n'kitumia wadhi
Ukiona rende unakua mless
Utakatwa makende ucross dress
And we at your door step
Roll with the niggas that talk less
Peng ni rapper ametokea juzi anataka collabo
I want sex preacher anasema niko possesed
Mambang'a wanasema ni gode
Early in the morning nko maperas (ching' ching')
Chunga, njuang' yangu kamagera vile ina
Dunga dunga shang' ndeng'a, skeng'a
Ukijileta, zitakupenda
Niko maprama, whatever niko ma Gucci, Prada
Rada negro? Niko zozote utateveva
Early in the morning nko maperas, chunga
Njuang' yangu kamagera vile ina, dunga dunga
Shang' ndeng'a, skeng'a
Ukijileta, zitakupenda
Niko maprama, whatever niko ma Gucci, Prada
Rada negro? Niko zozote utateveva
Early in the morning nko maperas, chunga
Njuang' yangu kamagera vile ina, dunga dunga
Big up my team
Big up un mi self jeshi ya rhyme gym
Tuliwasosi, walikulwa
Kwanza walikuwa wameenda Gym
Kama ni confuse confidence na impunity
Njueng'a baruti, I'm the bomb
Siezi pitia through security
Bado hujanikanja, why?
Manze umedunga, ushakuwa fine wine
Mapema ndio best, but ikifika kulipa deni
That's where you draw the line
Maza, maza, Mr miyagi, Munga ni master
Adam show Eve "Nyamaza" niaje
Snake ikaleta Eden Hazard?
Inanibamba, niko shughuli mjini
Unadai kuilamba? Na vile hii
Mwiko imepitia sufuria mingi
Huradi ya kwanza ilikuwa tukiishi gaza
Na ilikuwa pesa ya mzazi hio sasa
Hio ndio place fulani I was circumcised in
Early in the morning nko maperas (ching' ching')
Chunga, njuang' yangu kamagera vile ina
Dunga dunga shang' ndeng'a, skeng'a
Ukijileta, zitakupenda
Niko maprama, whatever niko ma Gucci, Prada
Rada negro? Niko zozote utateveva
Early in the morning nko maperas, chunga
Njuang' yangu kamagera vile ina, dunga dunga
Shang' ndeng'a, skeng'a
Ukijileta, zitakupenda
Niko maprama, whatever niko ma Gucci, Prada
Rada negro? Niko zozote utateveva
Early in the morning nko maperas, chunga
Njuang' yangu kamagera vile ina, dunga dunga

Writer(s): Alvin Handro, Munga Ramadhan

Wakadinali - NDANI YA COCKPIT 3
Album NDANI YA COCKPIT 3
date de sortie
02-12-2022

Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.